Orodha ya waliojaribu kumkwamisha 'chuma' Magufuli na wakaangukia pua!

Orodha ya waliojaribu kumkwamisha 'chuma' Magufuli na wakaangukia pua!

1-Zitto
2-lissu
3-Mbowe
4-Msigwa
5-Lema
6-Membe
7-Nape
8-Kinana
9-Makamba Jr na Sr
10-Abdul nondo
11-Mdude Chadema
12-Shangazi
13-Maria Sarungi
14-Mwele Malecela
15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa
n.k

Kama una ubavu jiunge na wewe uangukie pua
Acha kumwaibisha Mr. President
 
Kwahiyo ndiyo shilingi ya Tanzania [emoji1241] imepanda thamani kuliko dolali ya America [emoji1259]?
mantiki ya fedha yetu kulinganishwa na dola ni ipi?Tusiwe mazoba
 
1-Zitto
2-lissu
3-Mbowe
4-Msigwa
5-Lema
6-Membe
7-Nape
8-Kinana
9-Makamba Jr na Sr
10-Abdul nondo
11-Mdude Chadema
12-Shangazi
13-Maria Sarungi
14-Mwele Malecela
15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa
n.k

Kama una ubavu jiunge na wewe uangukie pua
Uwe unajaribu kuwekaga # zako za sim
Ndomana unapitwa na teuziiii

Ova
 
Majinga mengi yaliangukia pua Hadi yalienda kutubu dhambi mbele yake kweli jpm kiboko wa majizi waliojificha kuwa waminifu
 
1-Zitto
2-lissu
3-Mbowe
4-Msigwa
5-Lema
6-Membe
7-Nape
8-Kinana
9-Makamba Jr na Sr
10-Abdul nondo
11-Mdude Chadema
12-Shangazi
13-Maria Sarungi
14-Mwele Malecela
15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa
n.k

Kama una ubavu jiunge na wewe uangukie pua
Wangapi washawahi tekwa ako
 
kurusha picha za nyufa za majengo ya chuo kwenye mtandao ndo sababu ya kumuweka nondo kwenye list ua kuna lingine mkuu ?
 
1-Zitto
2-lissu
3-Mbowe
4-Msigwa
5-Lema
6-Membe
7-Nape
8-Kinana
9-Makamba Jr na Sr
10-Abdul nondo
11-Mdude Chadema
12-Shangazi
13-Maria Sarungi
14-Mwele Malecela
15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa
n.k

Kama una ubavu jiunge na wewe uangukie pua
Mwele kaangukia pua wapi wakati kaukata kupita maelezo?
 
Hao uliowataja walio wengi ni wapinzani,usitarajie mpinzani amuunge mkono Rais aliyeko madarakani wakati hata yeye mwenyewe/chama chake kinautaka urais.
Wanaotaka kumkwamisha ni CCM wenyewe waliozoea kupiga dili ambazo bwana mkubwa kabana
 
1-Zitto
2-lissu
3-Mbowe
4-Msigwa
5-Lema
6-Membe
7-Nape
8-Kinana
9-Makamba Jr na Sr
10-Abdul nondo
11-Mdude Chadema
12-Shangazi
13-Maria Sarungi
14-Mwele Malecela
15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa
n.k

Kama una ubavu jiunge na wewe uangukie pua
Cash flow ya ATCL ni dola milioni 14 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom