Orodha ya waliojaribu kumkwamisha 'chuma' Magufuli na wakaangukia pua!

Orodha ya waliojaribu kumkwamisha 'chuma' Magufuli na wakaangukia pua!

Wenyeviti wa Kamati za Bunge kwa kutumiwa na Mabeberu
1. Dr. Dalali Kafumu
2. Muladi Sadick
3. Vick Kamata
4. Peter Selukamba
5. Rafael Chegeni
6. Hawa Ghasia
 
Wengi hapo ni wanasiasa,nchi ya kijinga hii ukiwa mwana siasa unakuwa adui ndani ya nchi yako.
 
1-Zitto
2-lissu
3-Mbowe
4-Msigwa
5-Lema
6-Membe
7-Nape
8-Kinana
9-Makamba Jr na Sr
10-Abdul nondo
11-Mdude Chadema
12-Shangazi
13-Maria Sarungi
14-Mwele Malecela
15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa
n.k

Kama una ubavu jiunge na wewe uangukie pua
mkuu unamaanisha matendo mabaya yaliyowapata hawa jamaa aliyaengineer magufuli?
 
1-Zitto
2-lissu
3-Mbowe
4-Msigwa
5-Lema
6-Membe
7-Nape
8-Kinana
9-Makamba Jr na Sr
10-Abdul nondo
11-Mdude Chadema
12-Shangazi
13-Maria Sarungi
14-Mwele Malecela
15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa
n.k

Kama una ubavu jiunge na wewe uangukie pua
Mkuu na wewe umeamua kushabikia upuuzi.
 
Leo likianzishwa kanisa la Magufuli litapata wafuasi wengi sana.Bado taifa lina wajinga wengi sana.
 
Usiichafue Serikali Ya Viwanda Kwa Vitu Vyako Vya Hovyo
Hao Uliowataja Hawana Lolote, Serikali Ina Nguvu Nyingi Sana Ambapo Huwa Huwezi Kuzipima Tena Kwa Mtu


Serikali Ipo Sawa Sawa Saw 24/7
JW,TISS,PCCB, POLICE, FIRE, PRISON, IMMIGRATION, MADAWA YA KULEVYA
 
Ni jingalao... na ndio mjanja wao katika genge lile
Mbona kwa hii list unajiaibisha? Yaani mtu mwenye jeshi la polisi, JWTZ, JKT, TISS na Mgambo aje kukwamishwa na Abdulu Nondo? Be serious guys!!!
 
1-Zitto
2-lissu
3-Mbowe
4-Msigwa
5-Lema
6-Membe
7-Nape
8-Kinana
9-Makamba Jr na Sr
10-Abdul nondo
11-Mdude Chadema
12-Shangazi
13-Maria Sarungi
14-Mwele Malecela
15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa
n.k

Kama una ubavu jiunge na wewe uangukie pua
Ungeweka na kila mmoja alitaka kumkwamisha raisi kwa namna ipi ingekuwa na mashiko...... Kuwa na wazo mbadala siyo lazima unakwamisha
 
1-Zitto
2-lissu
3-Mbowe
4-Msigwa
5-Lema
6-Membe
7-Nape
8-Kinana
9-Makamba Jr na Sr
10-Abdul nondo
11-Mdude Chadema
12-Shangazi
13-Maria Sarungi
14-Mwele Malecela
15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa
n.k

Kama una ubavu jiunge na wewe uangukie pua

Hakuna kitu kirahisi kama kuteka na kupiga marisasi wanaokuzidi kwa hoja ukikabidhiwa dola. Jingalao unaweza pia hata kumzidi Jiwe.
 
1-Zitto
2-lissu
3-Mbowe
4-Msigwa
5-Lema
6-Membe
7-Nape
8-Kinana
9-Makamba Jr na Sr
10-Abdul nondo
11-Mdude Chadema
12-Shangazi
13-Maria Sarungi
14-Mwele Malecela
15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa
n.k

Kama una ubavu jiunge na wewe uangukie pua
Kwahiyo ndiyo shilingi ya Tanzania [emoji1241] imepanda thamani kuliko dolali ya America [emoji1259]?
 
1-Zitto
2-lissu
3-Mbowe
4-Msigwa
5-Lema
6-Membe
7-Nape
8-Kinana
9-Makamba Jr na Sr
10-Abdul nondo
11-Mdude Chadema
12-Shangazi
13-Maria Sarungi
14-Mwele Malecela
15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa
n.k

Kama una ubavu jiunge na wewe uangukie pua
Na hiyo orodha uliyotoa ni nusu tu!
 
Back
Top Bottom