Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Ninaiweka orodha hii ili muda muafaka ukifika mmoja baada ya mwingine atafanya yake;
- Freeman Mbowe,huyu kazi yake kubwa ni kuwaondoa wanachama kwenye lengo la msingi hususan pale hari inapokuwa juu. Ni ngumu kumgundua japo ndio hivyo tena.
- Tundu A.Lissu;wengi hawawezi kuamini ila siku ikifika atatoa lugha chafu sana dhidi ya kambi ya upinzani.
- Edward Lowassa; ''busara'' zake zinaeleweka.
- Fredrick Sumaye; yeye kazi yake kubwa ni kuhakikisha ''mikakati'' ya kuijenga Chadema ''inafanikiwa''.
- Kingunge Mwiru; anachochea moto kuelekea ufipa,ila ni ngumu kumgundua.
- Makongoro Mahanga; kazi kubwa ni ''kupoteza muda kwa chenga nyingi bila kushambulia goli la adui''.
- John Mrema et al; kazi yao kubwa ni kuhakikisha pale ambapo ''makamanda'' wanahoji jambo wanakuja na hoja ya kuwapooza, kama vile ''anatekeleza sera za Ukawa''
- Maalim Seif; Huyu wengi hamuwezi kuamini lakini ndio ukweli wenyewe