Tetesi: Orodha ya Wana-CCM ndani ya vyama vya upinzani

Ninaiweka orodha hii ili muda muafaka ukifika mmoja baada ya mwingine atafanya yake;

  1. Freeman Mbowe,huyu kazi yake kubwa ni kuwaondoa wanachama kwenye lengo la msingi hususan pale hari inapokuwa juu. Ni ngumu kumgundua japo ndio hivyo tena.
  2. Tundu A.Lissu;wengi hawawezi kuamini ila siku ikifika atatoa lugha chafu sana dhidi ya kambi ya upinzani.
  3. Edward Lowassa; ''busara'' zake zinaeleweka.
  4. Fredrick Sumaye; yeye kazi yake kubwa ni kuhakikisha ''mikakati'' ya kuijenga Chadema ''inafanikiwa''.
  5. Kingunge Mwiru; anachochea moto kuelekea ufipa,ila ni ngumu kumgundua.
  6. Makongoro Mahanga; kazi kubwa ni ''kupoteza muda kwa chenga nyingi bila kushambulia goli la adui''.
  7. John Mrema et al; kazi yao kubwa ni kuhakikisha pale ambapo ''makamanda'' wanahoji jambo wanakuja na hoja ya kuwapooza, kama vile ''anatekeleza sera za Ukawa''
  8. Maalim Seif; Huyu wengi hamuwezi kuamini lakini ndio ukweli wenyewe
Orodha ni ndefu ila kwasasa unaweza kuongezea ili kuweka kumbukumbu sawa.
Lete video mkuu
 
Kama iliwezekana Lowassa kuamia upinzani sidhani kama kuna linaloshindikana,kuna watu wanakimbia nyuzi humu ambazo walisema haiwezekani kwa mtu kama Lowassa kuania chadema.
 
Umesema Ndani Ya Vyama Vya Upnzan Lkn Umetaja Wote Walioko Chadema, Hii Unataka Kumaanisha ACT, CUF Lipumba, NCCR,TLP Nk Ni CCM Sio Upnzani? Tatizo Mishule Yenu Ya St.Nanihiii Mlizoea Kutafuniwa, Umizeni Vichwa Kdogo
Kwani Maalim seifu naye keshahamia chadema?
 
Umesema Ndani Ya Vyama Vya Upnzan Lkn Umetaja Wote Walioko Chadema, Hii Unataka Kumaanisha ACT, CUF Lipumba, NCCR,TLP Nk Ni CCM Sio Upnzani? Tatizo Mishule Yenu Ya St.Nanihiii Mlizoea Kutafuniwa, Umizeni Vichwa Kdogo
Umeona ehe... Jamaa atakua elimu sawa na mkuu wa mkoa wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninaiweka orodha hii ili muda muafaka ukifika mmoja baada ya mwingine atafanya yake;

  1. Freeman Mbowe,huyu kazi yake kubwa ni kuwaondoa wanachama kwenye lengo la msingi hususan pale hari inapokuwa juu. Ni ngumu kumgundua japo ndio hivyo tena.
  2. Tundu A.Lissu;wengi hawawezi kuamini ila siku ikifika atatoa lugha chafu sana dhidi ya kambi ya upinzani.
  3. Edward Lowassa; ''busara'' zake zinaeleweka.
  4. Fredrick Sumaye; yeye kazi yake kubwa ni kuhakikisha ''mikakati'' ya kuijenga Chadema ''inafanikiwa''.
  5. Kingunge Mwiru; anachochea moto kuelekea ufipa,ila ni ngumu kumgundua.
  6. Makongoro Mahanga; kazi kubwa ni ''kupoteza muda kwa chenga nyingi bila kushambulia goli la adui''.
  7. John Mrema et al; kazi yao kubwa ni kuhakikisha pale ambapo ''makamanda'' wanahoji jambo wanakuja na hoja ya kuwapooza, kama vile ''anatekeleza sera za Ukawa''
  8. Maalim Seif; Huyu wengi hamuwezi kuamini lakini ndio ukweli wenyewe
Orodha ni ndefu ila kwasasa unaweza kuongezea ili kuweka kumbukumbu sawa.

Siyo tatizo lako ninawalaumu moderators walioacha huu upuuzi uwepo humu
 
Ha ha ha Jizi kuu tumeliambia lije kuwarubuni huko ufipani

Ameondoka Lowassa about 10year ago,na wizi bado umeendelea.Escrow,UDA,LUGUMI<Kivuko Kibovu etc etc.Aliyekwapua kivuko kibovu ndiye mnayemuabudu kwa sasa,pathetic
 
Jamaa ana hoja..kwa nini Maalim alitaja matokeo mapema akijuwa ni kosa?Lowassa pigeni kura nitalinda...watu wanataka liwalo na liwe anakataza...
 
mabavicha yana akili ndogo.usiyashtue mapandikiz yetu yaendelee na kazi
 
Back
Top Bottom