Tetesi: Orodha ya Wana-CCM ndani ya vyama vya upinzani

Mtu yeyote aliyeingia upinzani wakati vyama vingi vinaazishwa alikuwa mwana chama tawala, hata mimi pia.
 
Kwa akili mbovu kama hizi Tz ya vi...wonder iko njiani
 
Mm Nawasiwasi Na Mbowe Tangia Afanye Biashara Ya Chama Kwa Luwasa Haeleweki Kabisa ,kuhusu Luwasa Na Sumawe Hawa Wanaeleweka Wanakazi Maulum Yakuua Upinzani.
 
kuna kipindi baba ako anaweza fanya ujinga unajaribu kumtetea kwa kila namna na anazidi kuurudia huo ujinga kila siku mwisho ata we unayemtetea mnaonekana kitu kimoja na kukaa kimya huwezi sababu alishakuahid kila unaponitetea nakunisifia kuna posho yako tayari kwa hiyo inabidi ujitoe ufahamu tu ili kulinda ugali wako bila kujua zipo njia nyingi tu zakujipatia kipato tofauti na hiyo unayojifedhehesha nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili zenu zilivyo ndogo mnaamini njia hiyo ya kutengeza story za kijinga ndio zitaanza kuleta migogoro CHADEMA??

Hahahaaa mna kazi kwakweli badala ya kutimiza ahadi mlizo waahidi wananchi mmekalia kutengeneza mbinu za kuufitinisha upinzani wajinga kweli nyie na mmedumaa kiakili

maana mbinu hizo mnazo tumia na nguvu hizo mnazotumia kutaka kugombanisha upinzani zingekuwa zinatumika kutatua kero na changamoto zinazo wakabili watanzania nadhan leo hii msingekuwa mna haha kutafuta pesa za kuendeshea serikali

lakin tatizo mmejikita kwenye mambo ambayo yanakuwa automaticaly yenyewe maana upizani haukai kwa viongozi bali kwa watanzania na hilo ndilo ambalo hamjalijua wajinga nyie ndio maana mnatumia pesa nyingi kununua wapizani wasio jielewa lakin ukija uchaguzi upinzani hawapotezi chochote zaid ya kuongeza majimbo na kata kwa kila uchaguzi hamjioni wajinga ?,

hangaikeni kujenga nchi na kuleta maendeleo ya kiuchumii CCM itapendwa automaticaly sio kupambana na upinzani mkizani kuua upinzani ndio kuendeleza nchi huu upinzani ni lazima utakuwepo tuu hauwezi kufa kwa akili za kijinga namna hiyo zaid mtakuwa mnaingiza hasara serikali na kodi zetu kila mara kurudia uchaguzi kwa sababu ya upumbavu wenu wa kushindwa kufikiri
 
Hivi siku mkikosa cha kupost ndio unatuma upumbavu ilimradi hela yako iingie tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi ieleweke vyama vyote vya upinzani vipo geresha tu ila Tanzani ina chama kimoja tu.
 
Umesema Ndani Ya Vyama Vya Upnzan Lkn Umetaja Wote Walioko Chadema, Hii Unataka Kumaanisha ACT, CUF Lipumba, NCCR,TLP Nk Ni CCM Sio Upnzani? Tatizo Mishule Yenu Ya St.Nanihiii Mlizoea Kutafuniwa, Umizeni Vichwa Kdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…