Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,207
- 17,674
1. Zito Kabwe
Huyu mwanzilishi wa ACT Wazalendo alikuwa haamini kabisa kama Tanzania inaweza kuwa na ndege zake mpya kabisa kutoka kiwandani! Alitukana na kukejeli kwamba Tanzania haina uwezo huo na hata ikijitutumua sana itaambulia panga boi zilizotumika wakati wa vita ya kwanza ya dunia. Zito Kabwe ushamba haujamtoka hata baada ya kusafiri sana nje ya nchi, leo Tanzania ina ndege zake mpya na Zito ndiyo wa kwanza kuzipanda bila aibu.
2. Tundu Lissu
Huyu nae ni mwanasiasa mshamba sana hata baada ya kuishi kama mkimbizi Ubelgiji kwa miaka mingi. Lisu hakuamini kabisa kama Tanzania inaweza kuwa na reli yake mpya ya umeme na alipinga sana ujenzi wake!
Tundu Lisu ni mshamba kiasi kwamba haamini kama mtu mweusi anaweza kusema no kwa mzungu!
Kwenye vita ya makinikia Lisu alikuwa anatetemeka kwa woga na kulamu sana kwa nini rais anawabishia wazungu.
3. Nape Nnauye
Huenda huyu ndiyo kiongozi wa wanasiasa washamba Tanzania. Washamba wenzie walimtuma apinge ujenzi wa bwawa la kufua umeme kwa kisingizio kwamba mikoa ya kusini itasinyaa kiuchumi. Leo bwawa limekamilika ujenzi wake sasa tumuulize Nape mikoa ya kusini imesinyaa kiuchumi?
Bila shaka ni ushamba tu ulikuwa unamtesa kwa kuamini kuwa watanzania wanasitahili vitu duni tu kwenye maisha yao.
4. Freeman Mbowe
Huyu ni mshamba mkubwa ambaye anaamini watanzania wanatakiwa kufanyishwa siasa za maji taka ambazo hata kwenye chama chake hapendi zifanyike. Kipindi cha Corona Mbowe aliongoza wabunge wa Chadema kutoka bungeni kwenda kujifungia kwa kile alichokiita karantini alafu usiku akawa anaonekana anakunywa konyagi kwa kuhamahama kwenye mabaa tofautitofauti! Kutokana na ushamba wa kuamini wazungu wako sahihi kwa kila kitu Mbowe pia alitoa wito wa kutaka watanzania walazimishwe kuchanjwa chanjo ya Corona!.
5. January Makamba
Huyu ni mshamba kiasi kwamba anaamini chanjo ndiyo iliondoa ugonjwa wa corona duniani! Ushamba wake pia ulipelekea ashindwe kuacha legacy yoyote Tanesco licha ya kukaa kwa miaka mingi.
6. Godbless Lema
Huyu ndiye mwanasiasa funga kazi kwa washamba nchini, mke na watoto wake wanaishi kwenye kambi za wakimbizi Canada na kulishwa hapo. Lema amepinga na kutukana kuanzia miradi hadi kazi za watanzania!
Lema kwa ushamba wake anaamini kila kitu cha wazungu ni kizuri na kwamba yeye mwenyewe hawezi kulea familia yake hadi awe mbunge. Kwa hiyo kama hatashinda ubunge mke na watoto wa Lema wataendelea kulelewa na kulishwa kama wakimbizi Canada maisha yao yote!.