Orodha ya wanasiasa ambao bila kuwapuuza Tanzania tusingekuwa hapa leo

Orodha ya wanasiasa ambao bila kuwapuuza Tanzania tusingekuwa hapa leo

Kuna yule mbuge wa singida aliyeoa miss Tz sijui anaitwa nani alisema Marekani wamemuomba awe rais wa Tanzania.. yule ndiyo kiongozi wa washamba ukanda huu wa Africa na maziwa makuu pamoja na ukanda wa Asia
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nime Cheka kwa sauti kubwa sana
 
Samia anatukana Raia wake , nafikiri Jana mumemskia wenyewe pale ubungo
 
1. Zito Kabwe
Huyu mwanzilishi wa ACT Wazalendo alikuwa haamini kabisa kama Tanzania inaweza kuwa na ndege zake mpya kabisa kutoka kiwandani! Alitukana na kukejeli kwamba Tanzania haina uwezo huo na hata ikijitutumua sana itaambulia panga e na watoto wa Lema wataendelea kulelewa na kulishwa kama wakimbizi Canada maisha yao yote!.
Unamtukana rais wako wa awamu ya Saba 2025 mh January yusuph Makamba??????
 
Nape na Mshamba mwenye wivu. Jamaa anataka aonekane yéyé ni muhim sana. Bada ya kuzurura nchi nzima mwaka 2014 kutafuna Kodi za walalahoi aliamini yéyé ni genius ambaye ameinusuru CCM na akasahau Mvuto wa JPM. Na Baada ya kuteuliwa akataka aonekane star zaidi ya Bashite. Jamaa mpaka Leo amegoma Starlink . Jamaa anapinga Kila kitu kinachohusu Magufuli
 
Nashangaa, kuna watu wanafurahia kuwa na ndege ilihali ni liabilities kwa serikali yetu
Watanzania wengi ninwashamba, hata hawa wanaowananga viongozi juwa ni washamba.

Ukiangalia hoja kama hizi za ndege ndiyo unagundua hilo.
 
Mkuu,

Mpaka leo huelewi ndege zinavyo ku cost?

Zile report za CAG huwa unapitia hata kwa kusoma headlines tu?
Kuwepo kwa gharama kubwa NI kutokana na uendeshaji mbovu! Kwa hiyo mkuu utashindwa kununua gari kwako eti kwa sababu mafuta yana bei kubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aise Tanzania yangu hii
 
Hapo ni January na Nape ndo washamba - wengine ni wazalendo halisi wa Taifa letu labda kidogo Zitto tangu maana awe kwenye kamati ile ya madini sijui ni nini kilimkuta kule akakengeuka hadi leo.
 
1. Zito Kabwe
kama hatashinda ubunge mke na watoto wa Lema wataendelea kulelewa na kulishwa kama wakimbizi Canada maisha yao yote!.
Agreed wholeheartedly, wote hapo juu ni washamba kupindukia na kichwani hamnazo. Imagine nchi kama Tanzania tunakuwa na viongozi kama hawa wasioona mbali, unafikiri wanatupeleka wapi?
 
Sioni mshamba hata mmoja katika list hiyo! Wote wamekuwa na mchango mkubwa katika kulijenga Taifa letu! Mtu kama Zitto,Mbowe,Lissu,nk walipokuwa Wabunge kama Wapinzani waliihoji na kuikosoa serikali,walifichua madudu ya Serikali,waliifanya serikali ijirekebishe,nk
Nadhani walichokataa ni Uchawa uliopitiliza wakati wa Mwendazake (One man show)!
 
Kuwepo kwa gharama kubwa NI kutokana na uendeshaji mbovu! Kwa hiyo mkuu utashindwa kununua gari kwako eti kwa sababu mafuta yana bei kubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aise Tanzania yangu hii
Kwani nani kasema tatizo ni gharama kubwa?

Unaelewa kuwa ukiwa na business plan nzuri unaweza kufanya biashara yenye gharama kubwa na bado ukapata faida?
 
1. Zito Kabwe
Huyu mwanzilishi wa ACT Wazalendo alikuwa haamini kabisa kama Tanzania inaweza kuwa na ndege zake mpya kabisa kutoka kiwandani! Alitukana na kukejeli kwamba Tanzania haina uwezo huo na hata ikijitutumua sana itaambulia panga a hiyo kama hatashinda ubunge mke na watoto wa Lema wataendelea kulelewa na kulishwa kama wakimbizi Canada maisha yao yote!.
Wewe ndio mshamba sana, chawa mkubwa sana!
 
Kwani nani kasema tatizo ni gharama kubwa?

Unaelewa kuwa ukiwa na business plan nzuri unaweza kufanya biashara yenye gharama kubwa na bado ukapata faida?

Aliyekuzuia kuwa na busness plan nzuri ni nani?
 
Back
Top Bottom