Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Huu ndîo mfano halisi kuwa mpige Mchungaji alafu kondoo watapoteana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amefanyaje?Mpina je?
Fafanua mkuuHuu ndîo mfano halisi kuwa mpige Mchungaji alafu kondoo watapoteana
ni mradi gani mmejenga kwa pesa za ndani ? ndo nchi mlitaka ifikie huku ? wakosoaji ndo wamefanya watu wawe wanakula kodi zetu na kuua miradi yetu ili tukose mapato ya ndani ? bad ujinga ndo ttzo katika jamii zetu , ccmu endeleeni kula neema haya majinga yaendelee kuganga njaa huku yakiwasifia mitandaoniHawa tunaweza kuwaita PUBLIC ENEMIES.
nyiny watz wajinga kuwai kutokea , unahis ukinunua tu ndege pesa inaanza ingia bila mipango thabiti ? na ujinga wenu ndo umeuwa mtaji kwa hawa wanasiasa wezi , hv mradi gani kwao umeleta faida ? Treni TAZARA au TRC ? Bandari ? Mashamba au Viwanda vilivyokufa ? Tbc ? isiyoweza hata kushindana na media changa za ndani ? BRT ? inayoanza kuwa mbovu zaid hata ya midaladala ya 2007?Mkuu,
Mpaka leo huelewi ndege zinavyo ku cost?
Zile report za CAG huwa unapitia hata kwa kusoma headlines tu?
Hao unaowaita washamba ndio wanaokula mema ya nchi.1. Zito Kabwe
Huyu mwanzilishi wa ACT Wazalendo alikuwa haamini kabisa kama Tanzania inaweza kuwa na ndege zake mpya kabisa kutoka kiwandani! Alitukana na kukejeli kwamba Tanzania haina uwezo huo na hata ikijitutumua sana itaambulia panga boi zilizotumika wakati wa vita ya kwanza ya dunia. Zito Kabwe ushamba haujamtoka hata baada ya kusafiri sana nje ya nchi, leo Tanzania ina ndege zake mpya na Zito ndiyo wa kwanza kuzipanda bila aibu.
2. Tundu Lissu
Huyu nae ni mwanasiasa mshamba sana hata baada ya kuishi kama mkimbizi Ubelgiji kwa miaka mingi. Lisu hakuamini kabisa kama Tanzania inaweza kuwa na reli yake mpya ya umeme na alipinga sana ujenzi wake!
Tundu Lisu ni mshamba kiasi kwamba haamini kama mtu mweusi anaweza kusema no kwa mzungu!
Kwenye vita ya makinikia Lisu alikuwa anatetemeka kwa woga na kulamu sana kwa nini rais anawabishia wazungu.
3. Nape Nnauye
Huenda huyu ndiyo kiongozi wa wanasiasa washamba Tanzania. Washamba wenzie walimtuma apinge ujenzi wa bwawa la kufua umeme kwa kisingizio kwamba mikoa ya kusini itasinyaa kiuchumi. Leo bwawa limekamilika ujenzi wake sasa tumuulize Nape mikoa ya kusini imesinyaa kiuchumi?
Bila shaka ni ushamba tu ulikuwa unamtesa kwa kuamini kuwa watanzania wanasitahili vitu duni tu kwenye maisha yao.
4. Freeman Mbowe
Huyu ni mshamba mkubwa ambaye anaamini watanzania wanatakiwa kufanyishwa siasa za maji taka ambazo hata kwenye chama chake hapendi zifanyike. Kipindi cha Corona Mbowe aliongoza wabunge wa Chadema kutoka bungeni kwenda kujifungia kwa kile alichokiita karantini alafu usiku akawa anaonekana anakunywa konyagi kwa kuhamahama kwenye mabaa tofautitofauti! Kutokana na ushamba wa kuamini wazungu wako sahihi kwa kila kitu Mbowe pia alitoa wito wa kutaka watanzania walazimishwe kuchanjwa chanjo ya Corona!.
5. January Makamba
Huyu ni mshamba kiasi kwamba anaamini chanjo ndiyo iliondoa ugonjwa wa corona duniani! Ushamba wake pia ulipelekea ashindwe kuacha legacy yoyote Tanesco licha ya kukaa kwa miaka mingi.
6. Godbless Lema
Huyu ndiye mwanasiasa funga kazi kwa washamba nchini, mke na watoto wake wanaishi kwenye kambi za wakimbizi Canada na kulishwa hapo. Lema amepinga na kutukana kuanzia miradi hadi kazi za watanzania!
Lema kwa ushamba wake anaamini kila kitu cha wazungu ni kizuri na kwamba yeye mwenyewe hawezi kulea familia yake hadi awe mbunge. Kwa hiyo kama hatashinda ubunge mke na watoto wa Lema wataendelea kulelewa na kulishwa kama wakimbizi Canada maisha yao yote!.
Kama ambavyo marais waliotangulia walifanya mengi tu mazuri. Lkn Magu alikuwa na mabaya ya kupindukiaHata hivyo ametuachia reli umeme tunapanda
Mjinga ni wewe unayetetea kununua ndege bila business plan. Nimeitaja business plan hapo juu, ila wewe hujui kusoma wala kuandika sitegemei uelewe.nyiny watz wajinga kuwai kutokea , unahis ukinunua tu ndege pesa inaanza ingia bila mipango thabiti ? na ujinga wenu ndo umeuwa mtaji kwa hawa wanasiasa wezi , hv mradi gani kwao umeleta faida ? Treni TAZARA au TRC ? Bandari ? Mashamba au Viwanda vilivyokufa ? Tbc ? isiyoweza hata kushindana na media changa za ndani ? BRT ? inayoanza kuwa mbovu zaid hata ya midaladala ya 2007?
MUWE MNATUNIA AKILI WAKIJA NA KAULI ZAO NYEPESI , SIKU MNASAMBAZIANA VIDEO ETI WAZUNGU WANATAKA MPUNGUE DUNIANI MARA WAZUNGU HAWATAKI MFUNGUE VUWANDA , HIZI STORI ZOTE HUWA MNAPEWA WANASIASA WALIOSHINDWA TIMIZA WAJIBU WAO , JE VIWANDA NA TAASISI ZILIZOKWEPO PIA WAZUNGU WALIZIUA? MUWE MNATUNIA AKILI ZENU HATA NUSU TU NA MUELEWE WANASIASA WENU NDO MZIGO , UNACHUKUA NDEGE UNAPELEKA KATAVI KWA BEI YA KODI YA NYUMBA YA MWAKA MZIMA , HIZO NI AKILI ?
NDEGE SI SHIDA , SHIDA NI CCMU HAWAWEZI WEKA MPANGO KABAMBE WA KUDHIBITI MAPATO KWENYE SHIRIKA YA NDEGE , UFISADI NDO UNAUA SHIRIKA LA NDEGE PAMOJA VITENGO VINGINE
ENZI ZA JPM TAZARA NA TRC ZILIKUWA ZINAFANYA KAZI REGULARLY ILA SASA HV MPK INABOA , TRENI HAZITABILIKI KBS NA WAHUSIKA WANAMAJIBU MABOVU HALAFU UNATEGEMEA WANAOJITAMBUA KUENDELEA KUPANDA TRENI ZAO ? HAPO MJINGA AKIAMBIWA TRENI ZINACOST ANABEBA KAMA ILIVYO
Naye yumo kwenye list?Amefanyaje?
Hamfikii jpm Kwa ushambaKuna yule mbuge wa singida aliyeoa miss Tz sijui anaitwa nani alisema Marekani wamemuomba awe rais wa Tanzania.. yule ndiyo kiongozi wa washamba ukanda huu wa Africa na maziwa makuu pamoja na ukanda wa Asia
1. Zito Kabwe
Huyu mwanzilishi wa ACT Wazalendo alikuwa haamini kabisa kama Tanzania inaweza kuwa na ndege zake mpya kabisa kutoka kiwandani! Alitukana na kukejeli kwamba Tanzania haina uwezo huo na hata ikijitutumua sana itaambulia panga boi zilizotumika wakati wa vita ya kwanza ya dunia. Zito Kabwe ushamba haujamtoka hata baada ya kusafiri sana nje ya nchi, leo Tanzania ina ndege zake mpya na Zito ndiyo wa kwanza kuzipanda bila aibu.
2. Tundu Lissu
Huyu nae ni mwanasiasa mshamba sana hata baada ya kuishi kama mkimbizi Ubelgiji kwa miaka mingi. Lisu hakuamini kabisa kama Tanzania inaweza kuwa na reli yake mpya ya umeme na alipinga sana ujenzi wake!
Tundu Lisu ni mshamba kiasi kwamba haamini kama mtu mweusi anaweza kusema no kwa mzungu!
Kwenye vita ya makinikia Lisu alikuwa anatetemeka kwa woga na kulamu sana kwa nini rais anawabishia wazungu.
3. Nape Nnauye
Huenda huyu ndiyo kiongozi wa wanasiasa washamba Tanzania. Washamba wenzie walimtuma apinge ujenzi wa bwawa la kufua umeme kwa kisingizio kwamba mikoa ya kusini itasinyaa kiuchumi. Leo bwawa limekamilika ujenzi wake sasa tumuulize Nape mikoa ya kusini imesinyaa kiuchumi?
Bila shaka ni ushamba tu ulikuwa unamtesa kwa kuamini kuwa watanzania wanasitahili vitu duni tu kwenye maisha yao.
4. Freeman Mbowe
Huyu ni mshamba mkubwa ambaye anaamini watanzania wanatakiwa kufanyishwa siasa za maji taka ambazo hata kwenye chama chake hapendi zifanyike. Kipindi cha Corona Mbowe aliongoza wabunge wa Chadema kutoka bungeni kwenda kujifungia kwa kile alichokiita karantini alafu usiku akawa anaonekana anakunywa konyagi kwa kuhamahama kwenye mabaa tofautitofauti! Kutokana na ushamba wa kuamini wazungu wako sahihi kwa kila kitu Mbowe pia alitoa wito wa kutaka watanzania walazimishwe kuchanjwa chanjo ya Corona!.
5. January Makamba
Huyu ni mshamba kiasi kwamba anaamini chanjo ndiyo iliondoa ugonjwa wa corona duniani! Ushamba wake pia ulipelekea ashindwe kuacha legacy yoyote Tanesco licha ya kukaa kwa miaka mingi.
6. Godbless Lema
Huyu ndiye mwanasiasa funga kazi kwa washamba nchini, mke na watoto wake wanaishi kwenye kambi za wakimbizi Canada na kulishwa hapo. Lema amepinga na kutukana kuanzia miradi hadi kazi za watanzania!
Lema kwa ushamba wake anaamini kila kitu cha wazungu ni kizuri na kwamba yeye mwenyewe hawezi kulea familia yake hadi awe mbunge. Kwa hiyo kama hatashinda ubunge mke na watoto wa Lema wataendelea kulelewa na kulishwa kama wakimbizi Canada maisha yao yote!.
Haha wanaona ufahari kununua midegeMkuu,
Mpaka leo huelewi ndege zinavyo ku cost?
Zile report za CAG huwa unapitia hata kwa kusoma headlines tu?
Watindiga wanalimbuka.Haha wanaona ufahari kununua midege
Ova
Nikiona thread sijui kwanini huwa nakudharau sana. Labda ni vile wewe ni wale Sukuma gang. Huwa unaandika ujinga mtupu1. Zito Kabwe

Yaani huyu huyu Etwege ndiye asome report ya CAG, utakuwa unatania mkuuMkuu,