Orodha ya Wanawake matajiri Afrika

Orodha ya Wanawake matajiri Afrika

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Orodha ya wanawake wenye vibunda Africa.
Top 10 Richest African Women:

1. Isabel dos Santos(🇦🇴) - $2.2 Billion
2. Folorunso Alakija(🇳🇬) - $1 Billion
3. Ngina Kenyatta (🇰🇪) - $1 Billion
4. Hajia Bola Shagaya (🇳🇬) - $800M
5. Wendy Appelbaum (🇿🇦) - $600M
6. Yvonne Ike (🇳🇬) - $600M
7. Sharon Wapnick (🇿🇦) - $500M
8. Bridgette Radebe (🇿🇦) - $400M
9. Irene Charnley(🇿🇦) - $400M
10. Wendy Ackerman (🇿🇦) - $200M

Source: Africa Hype Media
 
Ukijaribu kuangalia kwa makini hao wote wana uhusiano wa moja kwa moja na wanasiasa ndani ya nchi zao.
Ni kweli. Ndiyo maana nimeshangaa kuona Salma Kikwete kakosekana. Au atakuwa yeye anakwepa Kodi?

Maana rankings za utajiri huwa zinafanyika kwa kuangalia jumla ya Kodi na tozo zinazolipwa na mhusika..

Ndiyo maana yale ma-drug lords yanayomiliki kiasi kikubwa cha fedha kuliko hata akina Bill Gates lkn hayamo kwenye orodha.
 
✍️
 
Ukichunguza kwa makini utagundua ili uwe tajiri Africa basi uwe mwanasiasa ndio maana siasa za Africa ni fujo tupu watu wanafikiria kwenda kuiba rasilimali za nchi. Siku hizi rasilimali zikiisha tutaanza kupata viongozi halisi.
 
Ni kweli, haata Dangote alipata bust kubwa ndani ya utawala wa Obasanjo kipindi hicho rushwa imeshamiri sana, the same kwa MO na Rostam
 
Back
Top Bottom