Orodha ya Wanawake matajiri Afrika

Orodha ya Wanawake matajiri Afrika

tajiri wa nje ya Circle ya utawala ayupo hapo.
huyo Isabel Santos kamilikishwa rasilimali za Angola na baba yake ambae ni Rais wa Angola.
ni hivyo yani.
Hey, I could show ya how to juggle anything and make it double ,Weed, blow, real estate, liquor sto' wit' no trouble - Grand Hustle - Rubber band Man.
 
M na mbuziwa majiran KILA SIKU wako ndani ya geti nawaza nianze naoo nn niwapeleke bunju shamba shida Albadili ACHA tulabda ntatoka

 
Orodha ya wanawake wenye vibunda Africa.
Top 10 Richest African Women:

1. Isabel dos Santos(🇦🇴) - $2.2 Billion
2. Folorunso Alakija(🇳🇬) - $1 Billion
3. Ngina Kenyatta (🇰🇪) - $1 Billion
4. Hajia Bola Shagaya (🇳🇬) - $800M
5. Wendy Appelbaum (🇿🇦) - $600M
6. Yvonne Ike (🇳🇬) - $600M
7. Sharon Wapnick (🇿🇦) - $500M
8. Bridgette Radebe (🇿🇦) - $400M
9. Irene Charnley(🇿🇦) - $400M
10. Wendy Ackerman (🇿🇦) - $200M

Source: Africa Hype Media
Mbona BICHWA KOMWE - hayupo kwenye hiyo orodha?
 
Bila mke wangu mama koleta.... Takwimu ni batili sio kwa utajiri wa mahaba alionao
 
Back
Top Bottom