Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Ni kweli. Ndiyo maana nimeshangaa kuona Salma Kikwete kakosekana. Au atakuwa yeye anakwepa Kodi?Ukijaribu kuangalia kwa makini hao wote wana uhusiano wa moja kwa moja na wanasiasa ndani ya nchi zao.
SureUkijaribu kuangalia kwa makini hao wote wana uhusiano wa moja kwa moja na wanasiasa ndani ya nchi zao.
βοΈNi kweli. Ndiyo maana nimeshangaa kuona Salma Kikwete kakosekana. Au atakuwa yeye anakwepa Kodi?
Maana rankings za utajiri huwa zinafanyika kwa kuangalia jumla ya Kodi na tozo zinazolipwa na mhusika..
Ndiyo maana yale ma-drug lords yanayomiliki kiasi kikubwa cha fedha kuliko hata akina Bill Gates lkn hayamo kwenye orodha.
Aisee, wapi Mange Kimambi?
tajiri wa nje ya Circle ya utawala ayupo hapo.Ukijaribu kuangalia kwa makini hao wote wana uhusiano wa moja kwa moja na wanasiasa ndani ya nchi zao.
WeziUkijaribu kuangalia kwa makini hao wote wana uhusiano wa moja kwa moja na wanasiasa ndani ya nchi zao.
Kila la kheriOne day I will be among them
Ni kweli, haata Dangote alipata bust kubwa ndani ya utawala wa Obasanjo kipindi hicho rushwa imeshamiri sana, the same kwa MO na RostamUkichunguza kwa makini utagundua ili uwe tajiri Africa basi uwe mwanasiasa ndio maana siasa za Africa ni fujo tupu watu wanafikiria kwenda kuiba rasilimali za nchi. Siku hizi rasilimali zikiisha tutaanza kupata viongozi halisi.
Niliangalia vibaya nikafkir unasema JokateHapo na 11 wamuweke Jannete Kabila ..
HahahahahaNiliangalia vibaya nikafkir unasema Jokate