Orodha ya wasanii ambao bongo fleva / hiphop imewapa mafanikio makubwa

Msanii aliepiga hela hapa bongo ni nyoshi el saadat mzee ya ngwasuma jamaa alikua na pair million moja zaviatu na takribani pair 500000 za suti. Chezeya mtu ya Kongo wewe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣utoto raha sana.
 
🤣🤣🤣 kwa kiroboto hapo hapana, sema tu muzik umempa umaarufu, popote alipo anatag la watu, ila sidhan kama industry imemtendea haki huyu jamaa, sijui management au ndo system zetu ila kuna wasanii bado wanaudai sana muziki wa bongo, including Dully Sykes, Mr. Blue, T.I.D, Q Chilla, Daz baba, Ferooz, Albert (RIP), Ray C, Jay mo, na wengine wengi.
 
Kwa zamani mziki haukuwa na hela sana ila tangu diamond abadili radha na game la mziki wa bongo isee now day wasanii wanapesaa jamani..

Nikawaida wasanii sasa kuwa na bilion 1 bank.. hawa kina tembo, rayvan, zuchu, kina billnasi na mkewe, jux, mboso, marioo na wengine wanamiliki hizo bilion alafu kawaida tu.
 
Mr Nice ni msanii anayekubalika sana mpaka kusini mwa Africa huko nyimbo zake wanazielewa japo hawajui alishafulia kwenye game
Hii ni kweli kabisa kuna day pisi yangu moja ya kizulu iliniambia niwekee nyimbo za Mr Nice alooo nilishangaa sana..
 
Usd 352,000 ndio b1 ya Tshilingi......kwa hiyo ma diaspora wengi ni ma bilionea 👍
 
Bilion moja sio jambo dogo wasanii wetu hawa walivyoshamba wa magari msanii kanunua range ya million 100 lazima ajitangaze kama kwamba yeye ndio mtu wa kwanza kununua hiyo gari hapa Tanzania yani sizani kama wanamiliki hiyo pesa nazani watakuwa wanacheza hapa kwenye mill 200-400
 
Msanii aliepiga hela hapa bongo ni nyoshi el saadat mzee ya ngwasuma jamaa alikua na pair million moja zaviatu na takribani pair 500000 za suti. Chezeya mtu ya Kongo wewe
Hahahaha daaaaah we jamaa [emoji28][emoji28]
 

Ile kesi ya Tigo ilikuwa wazi lazima washinde maana ni copyright issue ,usicheze na kazi za msanii bila makubaliano.
 
Wacha bwana 😅
 
Kwenye mafanikio kupitia sanaa ya muziki, Naeza nika wasema Hawa ma guru wako vizuri mno
01, mwana fa & Ay ile kesi dhidi ya tigo ili wapa mtonyo mrefu.
Miksa uwekezaji Wai mzuri.
Hivi mna jua ay alikuwa patner wa kipindi Cha mkasi!?.

02, sugu jomba ana hotel kabisa, msanii was kwanza kuvuta chuma ya maana bongo
 
-Mr Nice hajawahi kuwa na bilioni, acheni utani.
-Profesa Jay hajawahi kuwa independent na hajawahi kulipwa advance ya 400m. Alikuwa Label ya Bongo Records na ndio maana walikwaruzana na P Funk kuhusu beat ya Nikusaidiaje. Kama angekuwa anamiliki huo wimbo P Funk asingepata kitu.
 

Matonya yupi???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyu huyu anayetapeli hadi bolt/uber anapanga chumba kimoja na kodi inamshinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]au matonya yupiiii
 
Matonya yupi???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyu huyu anayetapeli hadi bolt/uber anapanga chumba kimoja na kodi inamshinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]au matonya yupiiii
Matonya alikuwa na hotels mpaka Kenya fanya kuuliza mpaka mwaka 2007 alikuwa nondo ,Matonya yupo kenya ndio anapiga dili zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…