Matonya anaishi kenya bongo anakuja kwa show ,Mr Nice anaishi kenya ,Mb doggy kazi zake ni keny tena huko wanabamba mpaka kesho.
Mr Nice anafanya shughuli zake kenya pia ana biashara zake kiufupi wasanii wa ukanda wa kaskazini hata wakazi wanashare na kenya kweny shughuli zao kwa sana.
Bongo alishapotea ana Nyumba kwa wadigo wenzie huko .