Orodha ya Wasanii ambao hata wafanye nini hawawezi kurudi tena kwenye game... wageukie fani zingine

Orodha ya Wasanii ambao hata wafanye nini hawawezi kurudi tena kwenye game... wageukie fani zingine

Uhuru wa mawazo tunaita ....

Yani kichwa ni sawa na geto ukiwa unakaa peke ako. Unaeza amua kuwa kuanzia Leo ntalala kwenye kochi alaf kitandani ntarundika nguo ili vyombo niviweke kwenye sehem ya nguo.
 
Q chifu anazurula mitaa ya kinondoni kama mbwa koko dah!
 
Msanii yeyote atakaeropoka mitano tena, Sio nyimbo tuu hata picha yake ntaipita kama maiti ya *****

Wanakera sana😬😬
Hawa mitano tena hata sisi humu tunawaendekeza sana , nikuwatembezea block 🚫 tu wabaki kusifia wenyewe kwa wenyewe
 
Msanii yeyote atakaeropoka mitano tena, Sio nyimbo tuu hata picha yake ntaipita kama maiti ya *****

Wanakera sana😬😬
Sasa mfirwaji kama wewe hata ukizikanyaga picha zao una faida gani kwao mngese wewe. Yaani watu wasifanye biashara zao kisa nyie machoko ya cdm chakavu?!!!!! Pumbaaavu
 
Hawa ni wale wasanii ambao bado hawajaukubali ukweli na kila wakihojiwa wanasema wanaanda album au kuna kazi zao zinakuja mashabiki wasikilizie tu;

1. Q Chief
2. TID
3. Baraka da Prince
4. Young Killa
5. Mh. Temba
6. Chege
7. Rich Mavoko
8. Aslay
9. Maua Sama
10. AY
11. Fid Q
12. Joh Makini
13. Dully Sykes
14. Chid Benz
15. Beka flavor
16. Mo Music
17. Nikki Mbishi
18. Stereo
19. ....... list ni kubwa embu endelea na wewe

Sasa walio mbioni kutokusikika tena, inabidi wafanye juhudi za kipekee na wabadili mbinu;
1. Rayvan
2. Ibraah
3. Chino
4. Lavalava
5. Nandy

Muhimu watu kusoma majira, kuamka na kufanya uamuzi sahihi.
Nandy na Ibraah nawaona bado.
 
Kwani kuna makubaliano mlisainiana kuwa wataendelea kufanya muziki maisha yao yote?
 
Halafu sehemu ya vyombo..
Uhuru wa mawazo tunaita ....

Yani kichwa ni sawa na geto ukiwa unakaa peke ako. Unaeza amua kuwa kuanzia Leo ntalala kwenye kochi alaf kitandani ntarundika nguo ili vyombo niviweke kwenye sehem ya nguo.
 
Ni kawaida. Hata nje ya Tanzania kuna wanamuziki wanaopambana kurudi ila imeshindikana. Tatizo hawa wa kwetu wengi wana hali ngumu kiuchumi. DRC kuna Werrason, Koffi, JB Mpiana bado wanafanya shows za hapa na pale lakini wakiwa matajiri wakubwa.. hawafanyii njaa. Cha muhimu wanamuziki vijana wawekeze sana.
 
Back
Top Bottom