Orodha ya wasanii bora wa kisukuma wa siku zote

Bila NTEMI OMABALA ( ACHA TUDANGE)

Hiyo listi ni feki[emoji1787][emoji1787]
 
List hii ni batili mbona simuoni Dawa dawa...
Wakangwa..wakangwa...wasolwa...
Kwa kiswahili
(Unashituliwa.........unashituliwa......unapewa)
🤓🤓😂😂😂🤣🤣🤣😂😂🤣🤣
 
Lung'wechaa,Inaga,Bhudagalaa...Hatariiiiii sana
 
Nani aliimba wimbo flani kuna sijui ila kuna verse inasema


No nsanga grace,. Aleng'hwa juice.


No ng'wela grace oleng'wa juice, oyomba yes






Pia kuna mwingine inaombea na jamaa sijui nani



Gashinaga oh shipanda wachile


Nipeni audio
 
Umemuacha wapi ntemi!¡

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Best Nasso hayupo kwa list ujue ni uongo
 
Hivi INAGA ni ndege au mnyama??
 
Kuna kinyimbo kimoja nakisikia sana hasa kwenye harusi, wanaimba .....kubyala mayo kubyala jawiza sana.... Kaimba nani huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…