Orodha ya wasanii bora wa kisukuma wa siku zote

Sekta ya muziki wa kisukuma ni kubwa na pana kuliko watu wanavyoichukulia,kuna wasanii zaidi ya 50 wakali wote,na wanajaza shoo sana,hii secta imebeba ajira nyingi sana.Msanii mmoja anaweza akawa na crew ya watu zadi ya 25 hadi 30,kiingilio cha shoo zao ni buku tu ila wanajaza watu zaidi ya elfu3 hadi elfu 5,hapo tunaongelea milioni 3 hadi 5,bhudagala,kisima,bahati bugalama wanakusanya hadi m6,7,Na wanafanya shoo karibu kila siku,machimboni na mijini..Kwahiyo hii secta ni kubwa sana..
 
Nani aliimba wimbo flani kuna sijui ila kuna verse inasema


No nsanga grace,. Aleng'hwa juice.


No ng'wela grace oleng'wa juice, oyomba yes






Pia kuna mwingine inaombea na jamaa sijui nani



Gashinaga oh shipanda wachile


Nipeni audio

Bob Haisa
 
Ngw'ana kang'wa,nelemi,ngobho,ngelela,bahati bugalama,kisima,ng'ana ishudu,nyanda maliganya na wengne wengi
 
Uwingi nimtaji hawa jamaa wako wengi zaid yamikoa minne niwenyewe tu,
 
Bila kusahau NG'ANA KWELA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…