Orodha ya wasanii manyoka

Umemkamia!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Clouds fm wana segment ya 255 so mwenye hiyo id kumkamia jide isikuumize kichwa kwani Adam mchomvu kwenye facbk alipitiliza na pucha nude za deal,wapo kazini na mawingu siku hizi wana vibaraka wao jf kama Lumumba!!!
 
Dogo mfaume
fagio la chuma
aisha madinda
young d ndo anaanza kuonja hajaanza doz bado
 
chege sina uthibitisho zaidi ya mibange anayovuta kama chakula,ila nature,temba na YP wanabwia dona
hv hizo bang huwa hazina athar et maana kuna kamsemo bora kuvuta majan kuliko dona.
 
hv hizo bang huwa hazina athar et maana kuna kamsemo bora kuvuta majan kuliko dona.

kuna afadhali kidogo japo wengine wanakuwa machizi,ila unga hauna urafiki na mtu
 
Huyu sina mashaka naye 100% anatumia Unga uliokobolewa!

Nani anawauzia tukawakamate?

kuna mmoja anaitwa mzungu yuko maeneo ya ITV
jamaa kaporomosha majumba mawil ya kifahari huko Mbezi Beach kwa biashara ya nyunga
jamaa anajulikana mbaya lakini hakuna anaembugudhi si serikali ko sidhani kama Andybird314 unaweza kumkamata........
 
Yeah_hii biashara inalipa sana,...na hasa kwa nchi kama tanzania ambapo wala haubugudhiwi na mtu wala serikali.
 
Yeah_hii biashara inalipa sana,...na hasa kwa nchi kama tanzania ambapo wala haubugudhiwi na mtu wala serikali.

na vijana hawakauki pale.........,
mtu anaokota makopo kutoka mwenge hadi tegeta then anarudi mwenge
afu pesa yote wanampelekea jamaa
wenyewe wamechoka chakariii mwenzao anazikusanya tu
 
16. Bushoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…