Orodha ya wasanii manyoka

Fanani wa hard blasters.

huyu kila siku nakutana nae mabibo farasi karibu na loyola,keshadata siku nyingi sana muda wote ukikutana nae utakuta kashika bobo lake la maji ya uhai.
 
Wanaitwa nyoka au NYUKI WA KWENYE MASHINE.
 
mwanaisha mbegu aka aisha madinda
 
Watu mmekomalia hapa kuwataja wala unga na kupoonda mnajiona nyie malaika. Cha kusikitisha wengine mnaongea kwa kejeli kama vile mnafurahia matatizo yao. Anyway ni asili ya binadamu kupotezea kama tatizo halimgusi personally. Ni mtazamo tu dont take it personal.
 

mimi nadhani tuanze kuwataja wauza unga kwani wao mdio chanzo,
 
Hivi zile harakati za HIP HOP bila madawa inawezekana, ziliishia wapi?
 

wewe utakuwa teja tu.
 
kaka voda wa kinondoni
na dogo hamidu ndio wanaowauzia na polisi wanawajua

"wanao-snif na ku-smoke mie ndio nawa control"-Nyandu Tozi Dogo Hamidu.

"AMANI KWA KAKA VODA MILIONEA WAAMBIE WADOGO ZAKO WAACHE PODA WALE MMEA"-LANGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…