Chomo
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 250
- 662
Harmonize kasema hakuna msanii wa Tanzania alie mkubwa Afrika ila tunadanganyana tu, akabezwa.
List ya wasanii wanaomiliki mkwanja mrefu imetoka na msanii wetu tunaemuita mkubwa ametoka kapa hata kwenye 15 hayupo.
Hii ina maana vile vyanzo vya mapato vyote inavosemekana vyake havimuingizii faida, watu wanajinufaisha kupitia yeye halafu anatamba kwa sifa tu
Pole sana kwake na kwa nyie mnaomlamba miguu, dunia ya sasa ni vigumu sana kuongopa