Orodha ya Wasanii wa Afrika wenye mkwanja mrefu, huyu wetu anayemiliki nyumba 126 imekuaje?

Orodha ya Wasanii wa Afrika wenye mkwanja mrefu, huyu wetu anayemiliki nyumba 126 imekuaje?

Sasa hizi 5.1usd millioni za Mond,si Sawa na Tsh billioni 11.7Tsh, sasa huu mpunga ni kidogo sana kwa kelele zinazopigwa na wasafi,sasa Kuna wabunge tu kwa mafao yao wanapata mpaka billioni 100
Wabunge wa nchi gani?
 
Yaani koffi anazidiwa na Diamond!!!???? Nyie watoto nyie
Wanaomcheka Diamond kutokuwepo kwenye top 20 ina maana wamekubaliana na hiyo list, hivyo waendelee kukubali ya kuwa Koffi kazidiwa na Diamond na vilevile ya kuwa Fally hayumo hata kwenye top 30 kwani ndivyo list husika inavyojieleza.
 
It is a fake list. Imegundulika ni tovuti moja Nigeria ndio imechapisha hii habari. Forbes mara ya mwisho kutoa list ya wasanii matajiri Africa ulikuwa ni 2017. Kwenye hiyo list yuko Akon, Oliva Mtukudzi, P Square na wengine nimewasahau.
 
Basi vyombo vyetu vya habari ni janga, yaani mpaka Clouds walipost kwenye account yao ya Instagram
 
Back
Top Bottom