Koffi kafanya mziki mpaka anazeeka, lakini kapitwa na Diamond, amejitahidi sanaaaaaaaView attachment 1780929
Si haba, baada ya hapo anayefata ni Rayvanny.... Ukweli mchungu Sana
Si muweke list tuone
Emm kwanza....kwani yule mpenzi wa gigy money hayumo kwa listThe Richest Musicians In Africa (2022): Top 30 African Forbes List
You will see the top 30 African Forbes list of the richest musicians in African, their net worth, and how they came into the spotlight.thingstoknow.com.ng
Mwangalie list hiyo hapoEmm kwanza....kwani yule mpenzi wa gigy money hayumo kwa list
Kuna watu (wasanii) wana mkwanja mrefu kuliko Diamond, ila hawana matangazo kabisa wamepiga kimya!Ameonyesha ukubwa wake nchini maana ni wa 28 Africa na wa kwanza nchini, labda nikufahamishe Koffi Olomide ni wa 29 Africa pamoja na kuimba mziki mpaka anazeeka
Matangazo yapo tu, we ujaona Davido kale katoto kamiaka mitano ni kakupa zawadi ya Birthday Gari kali lile? lile ni tangazo ila kwa namna yake, kila mtu anayo haki muhimu asivunje katiba ya nchiKuna watu (wasanii) wana mkwanja mrefu kuliko Diamond, ila hawana matangazo kabisa wamepiga kimya!
Nenda Forbes ndio waliotoaHiyo list iko wapi?, na kutoka chanzo kipi?
Nitajie mmoja ambaye anapesa kumzidi Diamond na Hana matangazo...maskini tuna taabu SanaKuna watu (wasanii) wana mkwanja mrefu kuliko Diamond, ila hawana matangazo kabisa wamepiga kimya!
Una uhakika hii source ni 'authoritative'?The Richest Musicians In Africa (2022): Top 30 African Forbes List
You will see the top 30 African Forbes list of the richest musicians in African, their net worth, and how they came into the spotlight.thingstoknow.com.ng