Kamnyweso πππPiere ni msanii wa nini
Acha kunichekesha bwashe π Real Madrid tushapigwa pakti +1 hukoSubiri subiri kizazi hiki kifutike,usije kuzaa mwehu!
Basata wanamtambua?Vichekesho mzre anachekesha sanaa
Njoo na kanga had gheto uje ufanye pratical
Hahaa.....Tanzania hata ukiongea ongea sana unajikuta unaalikwa Ikulu kama msaniiPiere ni msanii wa nini
Umejuaje kuwa hawana watoto? Kwa Uthibitisho upi?1.Jb jerusalem
2.jux
3.piere liquid
4.omy dimpoz
5.
Ongezea unaiwaju jamii isiwe gandamiz kumsema wema sepetu na wengine iwe fair
Huo sio Ushahidi thabiti, kwsbb wanaweza kuwa na watoto ila hawajaamua kuwaweka waziNdip ushaidi ni wao wenyewe
Wewe ni jinsia Gani?1.Jb jerusalem
2.jux
3.piere liquid
4.omy dimpoz
5.
Ongezea unaiwaju jamii isiwe gandamiz kumsema wema sepetu na wengine iwe fair
Huyo namba 3 ni baba yake Nandy1.Jb jerusalem
2.jux
3.piere liquid
4.omy dimpoz
5.
Ongezea unaiwaju jamii isiwe gandamiz kumsema wema sepetu na wengine iwe fair
Huyo namba 3 ni baba yake Nandy