Orodha ya wasanii wa Kiume wasio na Watoto

Orodha ya wasanii wa Kiume wasio na Watoto

Uzi wa kifala kabisa, mkuu siyo lazima kila mtu awe na mtoto. Umenikumbusha wimbo wa UtaDead Jux, Nako, Tarico kuna sehemu anaimba Jux anasema, "....una nyingi changamoto, kichwa kimepata moto na bado unateseka lini Jux atapata mtoto..." ukanikumbusha pia maisha yangu tu kuwa nina watoto wawili wa kike, ndugu wanamsumbua wife kuwa kwanini hatuna wa kiume. Kuna vitu ni bahati tu, hauwezi amua.
Lengo ucoment kwenye ujinga kama huu kama ulivyofanya
 
1.Jb jerusalem
2.jux
3.piere liquid
4.omy dimpoz
5.
Ongezea unaiwaju jamii isiwe gandamiz kumsema wema sepetu na wengine iwe fair
Pierre Liquid msanii wa fani gani?
 
Back
Top Bottom