Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Hahahaahahaha... huu uzi ni wa chuki iliyopitiliza. Hapo labda Kalapina, Maujanja Suppliers na Bou Nako tu ndo vipaji vyao vinaweza kuwa na hitilafu... kusema Sugu hana kipaji ni tusi kwa Bongo Flavour yote.
Mkuu tofautisha heshima aliyonayo sugu na uhalisia wa kipaji chake
 
Sugu wa nipo mikononi mwa Polisi mpe heshima yake.
 
Nimesikiliza karibu albamu zote za Sugu na kukubali ni rapper bora sana kuwahi kutokea. Mimi ni mdau wa Hiphop. Niko karibu sana na huo muziki. Mtoe Sugu mweke Nikki wa II
Unamkosea sana Mh DC wa pili umeshaskiliza verse ya Nikki wa pili kwenye ngoma niaje ni vipi
 
Sugu ndiye anaongoza kwa wachovu ambao wapo overrated kwenye hiyo orodha yako.

Angeibukia zama hizi hakuna ambaye angemtilia maanani.
 
Sugu ndiye anaongoza kwa wachovu ambao wapo overrated kwenye hiyo orodha yako.

Angeibukia zama hizi hakuna ambaye angemtilia maanani.
Very true sugu ni hana uwezo kabisa
 
Kama hujui basi huu mjadala huatuweza
Mkuu ID yangu ni taaluma yangu.

Inawezekana una mtazamo unaihitaji kueleweshwa nini maana ya ubunifu, kipaji na ujuzi ndani ya sanaa.

Unapokuwa unakwepa maswali kwa majibu ya juu juu ni dalili upo kishabiki zaidi ya kujenga hoja ukaelweka
 
% 90 wasanii bongo hamna kitu, hata wasanii wa Sasa hivi, katika nyimbo 10 ukisikiliza Kwa umakini ni nyimbo 1 tu nzuri na yakibunifu nyimbo 9 zilizobaki n kelele tu, watu wanaenda studio sababu wanahela ya kulipia. Sio ivyo tu hata wasanii wakubwa Sasa iv Wanaimba matusi tu.
 
Mkuu ID yangu ni taaluma yangu.

Inawezekana una mtazamo unaihitaji kueleweshwa nini maana ya ubunifu, kipaji na ujuzi ndani ya sanaa.

Unapokuwa unakwepa maswali kwa majibu ya juu juu ni dalili upo kishabiki zaidi ya kujenga hoja ukaelweka
Swali lako limekosa mantiki ndo maan
 
I second this , [emoji115]
 
Wewe inatakiwa ukapimwe kwanza mkojo ndo urudi hapa mkuu
 
Mtoa mada hayuko mbali na ukweli, kama una internal talent utakuwa kuwa ubauwezo wa kubadilika ktk msimu na kujua nn kinahitajika kipindi hicho, mfano rahisi koffy Olomide anasema hata kama wanamziki wake wakiondoka wote akabaki peke yake bado hawatamshinda. and u can see it's true. He is real talented musician.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…