Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tofautisha heshima aliyonayo sugu na uhalisia wa kipaji chakeHahahaahahaha... huu uzi ni wa chuki iliyopitiliza. Hapo labda Kalapina, Maujanja Suppliers na Bou Nako tu ndo vipaji vyao vinaweza kuwa na hitilafu... kusema Sugu hana kipaji ni tusi kwa Bongo Flavour yote.
Sugu wa nipo mikononi mwa Polisi mpe heshima yake.Kalapina,
Huyu jamaa mbali na kuwa na harakati nyingi akiwa pamoja na kundi lake la Kikosi cha mizinga .ukweli ni kwamba hana kipaji cha music. Alipata umaarufu coz ametoka kipindi wasanii ni wachache
Sugu
Huyu jamaa ana majina kibao kama Mr two, jongwe, too proud na sasa anajiita Taita licha ya kuwa na heshima kama moja ya waasisi wa music wa hiphop tanzania , ukweli ni kwamba hana kipaji cha music
Jaffarai
Huyu ni moja ya member wa wateule alitamba na wimbo wa niko bize .lakini hakuweza kudumu kwenye game kwa muda mrefu kutokana ukweli hana kipaji
Mchizi mox
Huyu pia ni member mwingine wa wateule ngoma zake zilizowahi kupata airtime ni mambo vp na chupa nyingine . lakini uwezo wake ni wa kawaida sana
Mike tee mnyalu
Huyu jamaa alipata airtime miaka ya zamani kwa ngoma zake lakini ukimskiliza ni wazi hana uwezo kabisa. Ni moja kati ya wasanii ambao huwa wanaandikiwa
Soggydog hunter
Huyu jamaa bora angebaki kwenye u presenter tuu huku kwenye music aliforce tuu hana uwezo kabisa ana ngoma nyingi ila iliyopenya ni kibanda cha simu pekee yake
Bou nako
Huyu alikua member wa N2N lakini tangu hakua na uwezo kabisa .nafkir wana walimbeba tuu kutokana na love .ila kwenye music jamaa hana kipaji
Kr mulah
Huyu ndio founder wa style ya kucheza Mapanga . ameanza sanaa muda mrefu sana lakini ukimskiliza utagundua jamaa hana uwezo wowote kwenye music kwa kifupi hana kipaji
Mh temba
Huyu ni member wa TMK wanaume family mwanzoni alibahatisha ngoma kama tatu zikaenda mjini, baadaye akaja kuungana na chege wakatoa hadi album..ila ukimfuatilia vizur jamaa hana
uwezo kabisa
Rich one
Huyu pia ni member wa TMK alitamba na ngoma moja aliyomshirikisha Juma nature inaitwa hatuna kitu.baada ya hapo hajawai kutoa hitsong tena, Jamaa anasifika kwa utapeli wa kuandaa show na wasanii fake huko mkoani afu anapiga hela
Dudu baya
Huyu jamaa aliotea ngoma kama tatu tuu ambazo zilimtambulisha vyema kwenye game .lakini alipata jina kwakua kipindi anatoka hapakua na upinzani mkali kama ilivyo sasa
Maujanja suppliers
Hawa jamaa nawakubali kwa harakati zao za street lakini kwenye music watupishe hawana vipaji .lakini wao wamekua wanalalamika wanabaniwa kitu ambacho sio ukweli
Kama unafuatilia music wa bongo fleva utakua unakubaliana na mimi hawa jamaa hawana talent za music kabisa
Nimesikiliza karibu albamu zote za Sugu na kukubali ni rapper bora sana kuwahi kutokea. Mimi ni mdau wa Hiphop. Niko karibu sana na huo muziki. Mtoe Sugu mweke Nikki wa IIMkuu tofautisha heshima aliyonayo sugu na uhalisia wa kipaji chake
Unamkosea sana Mh DC wa pili umeshaskiliza verse ya Nikki wa pili kwenye ngoma niaje ni vipiNimesikiliza karibu albamu zote za Sugu na kukubali ni rapper bora sana kuwahi kutokea. Mimi ni mdau wa Hiphop. Niko karibu sana na huo muziki. Mtoe Sugu mweke Nikki wa II
Neno kipaji linq maana gani kwako?Hana uwezo wowote kwenye wa rap
Mkuu ID yangu ni taaluma yangu.Kama hujui basi huu mjadala huatuweza
Swali lako limekosa mantiki ndo maanMkuu ID yangu ni taaluma yangu.
Inawezekana una mtazamo unaihitaji kueleweshwa nini maana ya ubunifu, kipaji na ujuzi ndani ya sanaa.
Unapokuwa unakwepa maswali kwa majibu ya juu juu ni dalili upo kishabiki zaidi ya kujenga hoja ukaelweka
I second this , [emoji115]% 90 wasanii bongo hamna kitu, hata wasanii wa Sasa hivi, katika nyimbo 10 ukisikiliza Kwa umakini ni nyimbo 1 tu nzuri na yakibunifu nyimbo 9 zilizobaki n kelele tu, watu wanaenda studio sababu wanahela ya kulipia. Sio ivyo tu hata wasanii wakubwa Sasa iv Wanaimba matusi tu.