Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi nakwambia haupo sahihi, jamaa anajua sana kuanzia kufanya muziki hadi kuutayarishaNamjua ndani na nje ya music
Kwa nini unasema hana kipaji?Namjua vizur sana
Kwa wakazi kweli nakubaliana na ww ila weusi hapanaOngeza na jamaa mmoja anaitwa Wakazi. Huyu nimekuja kujua kwamba ni msanii baada ya kuingia Twitter. Pamoja na hvho bado sijua wimbi wake hata mmoja.
Halaf kuna weusi. Hao jamaa huwa wanaimba vitu ili mradi tu wapate vina lkn aaid ya hapo hakuna kitu
Asante mkuuNimeishia kusoma hapo ulipomtaja Sugu...
Ila naheshimu mawazo yako!
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hata hawa nliowataja wote walitoka kipindi ambacho kwanza wasanii walikua wachache ilikua ukitoa ngoma lazima iende redioniKuna wakati mziki ulikuwa mwepesi kutoboa mpaka jokate nae alianza kuimba[emoji16][emoji1787]
ko umezaliwa 1994 AF unamdiss brother SUGU haupo timamuNimezaliwa 1994/, nimeanza kuskiliza bongo fleva 1999 so nna experience kubwa sana
Unapenda nini ft. Fatma.Nakuongezea na
My boo ft q chief
Unapenda nini ft dada mmoja hivi
Demu wangu ft T.I.D
Lakini bado jamaa naomuona ni weak MC
wanachotaka Mimi nipate tabuKiukweli tu watanzania wanshindwa kutofautisha heshima na kipaji. Sugu kipaji cha muziki hakuna ila heshima anayo na yote ni kwasababu wakati wanaimba wao hakukuwa na ushindani, so ata ukiimba vibaya hakuna wakukushinda nisha nae.
Soggy pia laiimbaNamjua ndani na nje ya music
Asante sana mkuuUnapenda nini ft. Fatma.
Fatma ni dada yake hardmad, waliimba TAMALA.
Fatma pia alishiriki kwenye ENO MIC na Ziggy D.
Fatma aliimba 1. Alif kwa ujiti ft. Jose Mrambo 2. Usiache music.
Fatma anajaribu kurudi sasa hivi, mara aimbe singeli mara vile mara hivi, ilimradi tu aendane na muziki wa sasa, ila akikaa kwenye hip hop yupo vizuri sana
Anachana sana na anaimba pia.
Ukimwambia awataje wenye vipaji ataleta hawa wanaobokolewa na kukazwa... Kama huamini mwambie akutajie wenye talent hapa utaonakipaji gani unazungumzia kama ni kulamba lips sawa