Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Duh kumbe hakuandika mwenyewe ..basi jamaa ni kilaza mno
Nakumbuka nilisikiliza interview moja wakati huo pale radio one, UVC wakachana sana wimbo wa niko busy ( sikumbuki kama mashairi yalikuwa yale yale 100% au la). Na nika appreciate wimbo ni mkali so nasubiri utoke sasa.

Baada ya muda naona unatoka ila kaimba Jafarhymes, nkajua tu hapa biashara imefanyika.
 
Unajua hit song ya mwisho temba kutoa kama solo artist ilikua ni mwaka ga

Unajua hit song ya mwisho temba kutoa kama solo artist ilikua ni mwaka gani?
Hit song sio kigezo cha kusema msanii ana kipaji au hana kipaji, na ndio maana katika wasanii ulio wataja hapo juu kuna waliowahi kutoa hit song mara kadhaa lakini wewe umewaona bado hawana vipaji
 
We jamaa unajua sana mkuu, emu muelekeze huyu MTOTO wa 2010s aelewe
Hahahah ndo maana nikasema kwenye hii list kuna watu siwakubali kwa personal interest tu lakini siwezi sema hawana kipaji.

Na hizi list zinaweza kuwa nyingi kama idadi ya watu duniani, maana kila mmoja atakuja na list yake na zisifanane kabisa.

Hapo ndo tunapoamua kuheshimu mawazo ya mtu.
 
Kiukweli tu watanzania wanshindwa kutofautisha heshima na kipaji. Sugu kipaji cha muziki hakuna ila heshima anayo na yote ni kwasababu wakati wanaimba wao hakukuwa na ushindani, so ata ukiimba vibaya hakuna wakukushinda nisha nae.
Asante sana mkuu
Hii comment yako i wish kila mtu angeisoma nakuielewa
 
Hahahah ndo maana nikasema kwenye hii list kuna watu siwakubali kwa personal interest tu lakini siwezi sema hawana kipaji.

Na hizi list zinaweza kuwa nyingi kama idadi ya watu duniani, maana kila mmoja atakuja na list yake na zisifanane kabisa.

Hapo ndo tunapoamua kuheshimu mawazo ya mtu.
Hapa umesema ukweli kuna kitu kinaitwa Personal Interest hicho mtoa mada ameacha kulitolea ufafanuzi anakitenganisha vipi na kipaji Cha mtu husika hajaeleza, kwa hio ni kwa mapenzi yake tu anaona msanii fulani na fulani hawana kipaji Cha muziki Ila sababu anazotoa hazina mashiko maana watu wanakataa kwamba sio sahihi huyu na huyu hujawatendea haki hawa kipaji wanacho Ila wewe kwa interest zako binafsi za kupenda flow fulani na miondoko fulani ya mziki ukaona huyu msanii hana kipaji Jambo ambalo sio kweli
 
Back
Top Bottom