Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu historia ya bongo fleva naijua vizur.....nnapokuambia kuwa hawana vipaji jua nimefanya researchjamaa umekomalia eti walitoka kipindi hakukua na wanamuziki, those days competition ilikua kubwa sana kwa taarifa yako, tena naweza sema sasa hivi ndio kama hamna wanamuziki wengi kama kipindi hicho, kila mwaka kulikua kunatika vichwa vya kutosha kwenye game, kuna kina Inspector, nature, prof J, dogo hamidu, bwana misosi, pig black, asee walikua wengi
Fatilia historia zao, mfano Mchizi mox ye mwenyewe alishawai kunukuliwa kuwa anabaniwa na majani ....lakini ukweli ni kuwa hana kipaji ana force tuuZamani hizo kweli ngoma ikienda redioni unakuwa ushatoka. Sasa shida haikuwa kwenda redioni, shida ilikuwa kurekodi. Ili urekodi ililazimu uwe na kipaji, husuani kwa P Funk ndio uruhusiwe kurekodi, sasa hao kina Kala Pina, Jaffarai, Kali P, Mike T wote walirekodi kwa Majani.
Emu mwambie huyo mjinga mjinga mtoto wa juzi, muongeze na Rah P, Banana Zorro, Poulin Zongo, marehemu Maunda Zorro, K Sal, Afande Sele, Caz-T, Wagosi wa Kaya, Hardmad, K Basil, Miss Sara, marehemu Geez Mabovu, marehemu Ngwair, marehemu Mr. Ebo, Babuu wa Kitaa, Wakali Kwanza (Makamua, Q Jay & Joslin), Wateule (Jaffarai, Mchizi Mox & Juma Mchopanga 'Jay Mo'), bila kumsahau BushokeHapa wasanii wengi watakuwa hawana vipaji,
Kina Solo Thang, Balozi Dola Soul, Mr. Paul, Inspekta Haroun, Afande Sele, Ferouz, Daz Baba, Joslin, Sister P, Roho 7, Nuruel
Naungana na waliosema kuwa kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni, na maoni yako ni mtazamo wako, yaheshimiwe.Mkuu una maoni gan kupitia ile list
Nilisema utasema na kweli umesema we kweli maandazi kabisa, bichwa fuvu naweza nikawa nachangia mada na choko ngoja niachane na uzi wako wa kiduanziFatilia historia zao, mfano Mchizi mox ye mwenyewe alishawai kunukuliwa kuwa anabaniwa na majani ....lakini ukweli ni kuwa hana kipaji ana force tuu
Kwa maana hiyo ni producer .na sio msaniihapa ndiyo natambua hujui mziki hasa wa zamani
Soggy mda mwingi sana alikua upande wa production, hasa kusuka drums
kuimba ni mara moja moja, 98% kusuka drums, 2% ndiyo kuimba
Wewe hakuna unalolijua wangekua hawana kipaji Master J asingeruhusu kurekodi nyimbo zao, kwa hio Hilo tusi unarudisha kwa producers kwamba walirekodi waimbaji wasiojua kuimba na hawana kipaji Cha mziki, hivi unaijua mziki wa zamani kweli wewe? Ushawahi kumuelewa Fid Q au walau hata kumsikiliza AY? Ni nini walipitia pale walipoingia studio? Unajua enzi hizo kulikua na ushindani kiasi gani kupata airtime studio?Ukiona mtu anaanza kutukukana ni dhahiri umshindwa kwenye hoja
Wewe ni kichwa empty huna unalolijua una-generalize Mambo hilo ndio tatizo lakoWe kweli kiande huna lolote ... Unajikuta unajua kumbe kichwani empty kabisa
upande wa muziki jamaa ni mweupe
Huyu jamaa ni Choko anajifanya kujua hivi hata Soggy Dog Hunter mwenyewe hata anamjua Kibanda Cha simu inatoka yeye yupo tumbon kwa mama yake mjinga mmojahapana, yuko vizuri sana, alizalisha hit song kali ya Afande Sele, iliyopeleka kushinda ufalme wa Rhymes 2004
Jina la Kisanii alikua anaitwa Mr. II au Mr. 2 before hajaitwa Sugu alikua anaitwa Mr. II aka Sugu alipotoa 'wananiita Sugu' na Stala Thomas akafuta Mr. II akajiita Sugu km Sugu, sasa tafuta hio ngoma inaitwa "Wananiita Sugu" uisikilize ukimaliza rudi hapa Ila kabla haujarudi fanya paaaaap bonyeza dude moja linaitwa Mambo ya Fedha Sugu ft. Lady Jay Dee ukimaliza kusikiliza njoo hap
Crazy GK hajawahi kuimba Chorus ya wimbo wake wowote kabla ya 2009 na hata baada ya 2009 nafikiri ni wimbo 1 au 2 ndio ameimba mwenyewe. Ngoma zake zilikuwa ni kali na hakuna mtu aliwahi kusema kuwa jamaa anabebwa.Hizo ngoma zote zimebebwa na hao aliowashirikisha
anakurupuka sana,Huyu jamaa ni Choko anajifanya kujua hivi hata Soggy Dog Hunter mwenyewe hata anamjua Kibanda Cha simu inatoka yeye yupo tumbon kwa mama yake mjinga mmoja