Hata historia ya hilo jina , ni kutokana na ushamba wake wa kujisifia sifia ,...Mr two proud , kuna mzungu alimuita hvyo ..jamaa kwa ushamba wake akaona limekaa vizur akaanza kujiitaHakuna msanii bongo aliyewahi kujiita "too proud"
Mtafute mystical na big halafu useme kama wana kipaji ama la, pia GKUmeona eeh
Alikuwa anaitwa Mr ''Too proud''Jina la Kisanii alikua anaitwa Mr. II au Mr. 2 before hajaitwa Sugu alikua anaitwa Mr. II aka Sugu alipotoa 'wananiita Sugu' na Stala Thomas akafuta Mr. II akajiita Sugu km Sugu, sasa tafuta hio ngoma inaitwa "Wananiita Sugu" uisikilize ukimaliza rudi hapa Ila kabla haujarudi fanya paaaaap bonyeza dude moja linaitwa Mambo ya Fedha Sugu ft. Lady Jay Dee ukimaliza kusikiliza njoo hapa
Ni Two Proud na sio TOO PROUD,Hata historia ya hilo jina , ni kutokana na ushamba wake wa kujisifia sifia ,...Mr two proud , kuna mzungu alimuita hvyo ..jamaa kwa ushamba wake akaona limekaa vizur akaanza kujiita
Master jay anaifahamu vizuri hii historia
Sio too ni two, halafu alipoanza kujiita Mr, hiyo proud iliondoka ikabaki Mr TwoAlikuwa anaitwa Mr ''Too proud''
Mpaka leo hii Cassette ipo pale kwenye kabati la cassette la Mzee Wangu. Dingi yangu yuko na taste tofauti tofauti za muziki.Ndio kweli namzungumzia Saleh Jabir yule alieachia ngoma ya Ice Ice Baby kipindi hicho ngoma hio mbele ilikua hit song yeye akaimba na kurap kiswahili aliitafsiri mistari then ikaruka redioni, unamjua?
Kuvichaka _Jabir SalehYeah, mim binafsi namjua.
Ndio maana nimeshangaa mtoa mada kwenda kumtaja Kuvichaka.
Presenter wa Efm ni Jabir Saleh na sio Salehe Jabir.Hebu mtu mmoja aniwekee song la ice ice baby la saleh jabir. Nina swali hapa, hivi saleh jabir wa ruka kama ninja tua kama ndege ndio huyu presenter wa efm radio leo? Na je ana undugu na salama jabir?
Nilikuwa mdogo kipindi saleh jabir anaintroduce swahili rap na ngoma yake ya ice ice baby.
Hana kipaji cha muziki ni rapper mbovu mnoo
Na ww ndo wale walekichwa cha uzi na content ni tofauti,uliowataja wengi wao wanavipaji.
Huu ujinga n sawa na kumwambia Usher RayMond au Tony Braxton atoe hit song sasa hivi kuthibitisha kipaji chake. Punguza utoto Aisee.Hao wote uliowataja waambie watoe hit song kwa kipindi hiki kudhihirisha ukali wao ..hao wote hawana uwezo
Ana lipi?Mike T huyu tunayemjua? Unalinganisha na hawa wanaosuka nywele kama wanawake?
Ukiwa na miaka 5 hiyo 1999. Mtoto wa miaka 5 anaweza kuwa na upeo wa muziki!?Nimezaliwa 1994/, nimeanza kuskiliza bongo fleva 1999 so nna experience kubwa sana
Ili msanii awe na kipaji ana hitaji kuwa na hit song ngapi!?Ntajie hitsong tano za Jaffarai
50_50 (pasu kwa pasu naamini ilitokea hapa)Na wanasikio la kuchagua beats za kibabe. Beats zao ni kali sana.
1. Tuna bang
2. Nipe jibu
3. Hizi sura
Kal p wa imekaa vibaya , namuona zaidi kwenye comedy
Profesa kamzidi Sugu kitu gani!?
Sasa Sugu wewe umeanza kumsikiliza juzi tu enzi za wananiita Sugu. Leo unatoa hukumu.Bora ya profesor aisee anajua hadi anajua tena japokua sio mtubwa kubAdilika sana ain yake ya uimbaji ila mr II AKA sugu amna kitu aisee yule ni kama young lunya kujisifia tu taita