Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Hakuna msanii bongo aliyewahi kujiita "too proud"
Hata historia ya hilo jina , ni kutokana na ushamba wake wa kujisifia sifia ,...Mr two proud , kuna mzungu alimuita hvyo ..jamaa kwa ushamba wake akaona limekaa vizur akaanza kujiita
Master jay anaifahamu vizuri hii historia
 
Jina la Kisanii alikua anaitwa Mr. II au Mr. 2 before hajaitwa Sugu alikua anaitwa Mr. II aka Sugu alipotoa 'wananiita Sugu' na Stala Thomas akafuta Mr. II akajiita Sugu km Sugu, sasa tafuta hio ngoma inaitwa "Wananiita Sugu" uisikilize ukimaliza rudi hapa Ila kabla haujarudi fanya paaaaap bonyeza dude moja linaitwa Mambo ya Fedha Sugu ft. Lady Jay Dee ukimaliza kusikiliza njoo hapa
Alikuwa anaitwa Mr ''Too proud''
 
Hata historia ya hilo jina , ni kutokana na ushamba wake wa kujisifia sifia ,...Mr two proud , kuna mzungu alimuita hvyo ..jamaa kwa ushamba wake akaona limekaa vizur akaanza kujiita
Master jay anaifahamu vizuri hii historia
Ni Two Proud na sio TOO PROUD,
 
Ndio kweli namzungumzia Saleh Jabir yule alieachia ngoma ya Ice Ice Baby kipindi hicho ngoma hio mbele ilikua hit song yeye akaimba na kurap kiswahili aliitafsiri mistari then ikaruka redioni, unamjua?

Mpaka leo hii Cassette ipo pale kwenye kabati la cassette la Mzee Wangu. Dingi yangu yuko na taste tofauti tofauti za muziki.
 
Hebu mtu mmoja aniwekee song la ice ice baby la saleh jabir. Nina swali hapa, hivi saleh jabir wa ruka kama ninja tua kama ndege ndio huyu presenter wa efm radio leo? Na je ana undugu na salama jabir?

Nilikuwa mdogo kipindi saleh jabir anaintroduce swahili rap na ngoma yake ya ice ice baby.
Presenter wa Efm ni Jabir Saleh na sio Salehe Jabir.
 
Hana kipaji cha muziki ni rapper mbovu mnoo

Najua unazungumzia Lyrically chamsingi unapaswa kuelewa kua swala la mziki ni pana sana sio finyu kama unavyotaka kuliweka wewe mfano zamani uko mbele kulikua kuna watu wanaitwa FIELD MOB waloimba sick of being lonely au BAHA MEN waloimba who let dog out hawa watu ukiwa sio mtu wa mziki utasema hawana vipaji ukizingatia mpangilio wa vina vyao, ila kwa wakat huo huo walikuepo kina NELLY na JAYZ hawa ukiwasikiliza unaweza sema wavipaji maana wanapanga mashairi commonly kama ilivozoeleka kwenye codes za kuimba ila trust me hawawote walikua na fanbase zao ndo maana kuna wakat watu hawakumwelewa jay ila walimwelewa Nelly na wengine hawakumwelewa Tupac wakamwelewa Big ila iyo haifamfanyi kusema tupac hana kipaji kisa the way anavoflow kwako haikuingii

we unaweza sema humuelewi ni sawa ila usiseme hana kipani as long as mtu anafan base yake akisimama akaimba nyimbo yake watu wanafurahi na kuburudika bas uyo anakipaji tosha kwa upande wake kama unabisha kamwambie msanii wako wa hiphop apa Tanzania akaimbe izo flow zake INDIA au kawambie MCHAGGA asikilize nyimbo za SAIDA KARORI huone, anaweza sema hana kipaji sababu haelewi chamsingi respect ubunifu wa mtu kwenye eneo lake maana secta ya mziki ni pana mno sio ivo unavyoiwaza wewe.

Note; nakubaliana na wewe kua jamaa sio rapa mkali kiupande wangu ila hatuna mamlaka yakusema hana kipaji yule anawatu wake wanao elewa mziki wake.
 
Kal p wa imekaa vibaya , namuona zaidi kwenye comedy

Ndo ivo ni comed upande wa mziki chamsingi watu wasikilize waburudike pia kuna watu wanaweza kuimba nyimbo za harakat tuu ukiwambia waburudishe kidogo hawawezi na kuna watu wanaweza kutunga inspiration songs tuu ukiwambia waimbe haina zingine za mziki hawawezi nakunawengine wanaweza ivo vyote upande wa lege ila hawez upande wa rap kunamwingine anaweza ivo vyote pande wa taarabu ila bongo fleva hawez yan ndo iko ivo mkuu ila kama huwelewi bas.
 
Back
Top Bottom