Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Mkuu samahan sana wengine na kubali ila sio Mh. Temba, yupo vzr sana unamkosea heshima
Temba mwanzon huko alifanya vizur ..ila ukitaka ujue jamaa hana uwezo ..mwambie atie solo projects uone kama ataweza tena kutoa hit song
Temba alibebwa sana na chege

Au nkuulize....Ntajie hitsong ya mwisho temba kutoa kama hit song ilikua mwaka gani
Bila shaka ilikua 2009 nyimbo inaitwa Maneno nawafunza ...toka hapo ngoma zilizotamba hajafanya peke yake
 
Aisee sugu sjijawahi kumuelewa hata kama watasema kwa enz hzo alkua mkali lkn ukiskiliza nymbo zake n kama anaongea tu au hana flow za hip hop kbsa afu kuna abby skillz, pia
Jina la Kisanii alikua anaitwa Mr. II au Mr. 2 before hajaitwa Sugu alikua anaitwa Mr. II aka Sugu alipotoa 'wananiita Sugu' na Stala Thomas akafuta Mr. II akajiita Sugu km Sugu, sasa tafuta hio ngoma inaitwa "Wananiita Sugu" uisikilize ukimaliza rudi hapa Ila kabla haujarudi fanya paaaaap bonyeza dude moja linaitwa Mambo ya Fedha Sugu ft. Lady Jay Dee ukimaliza kusikiliza njoo hapa
 
Jamaa kwa harakati za music tunampa heshima yake .lakini tukibaki kwenye ukweli ni kuwa hana kipaji cha music..
Ndo maana hajapewa heshima ya Godfather wa bongo fleva ila proffessor jay kapewa
 
Inawezekana wewe ndo huna kipaji hata cha kusikiliza music
 
Hivi unameanzia 1990 mpaka sasa 2023 au ume-catogorize tofauti, unamjua msanii wa kwanza kutoa nyimbo ya bongo fleva radioni kipindi hicho nyimbo hizo zinapigwa Vita vibaya na kuonekana ni uhuni?
Mkuu nje ya Music Sugu nampa heshima kubwa sana katika kuupambania muziki wa Bongo fleva
Lakini kama tumeamua kuwa wakweli Sugu hana uwezo wa kisanaa kabisa , ukimskiliza vizuri kama kweli una sikio la music utagundua jamaa ni wakawaida kinyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…