stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Umeruka swali alafu ukiwa kitu hujui au hukifahamu ni vizuri useme haujui kuliko kuruka swali unajipunguzia credibility yako ya maana, nimekuuliza unamjua msanii wa kwanza wa bongo alieachia ngoma radioni alikua anaitwa Nani? Kipindi hicho walikua wanabadirisha nyimbo za kingereza kuimba kiswahili yaan ngoma ya mbele Ila wanatafasiri mistari na kuimba kiswahili unamjua?Mkuu nje ya Music Sugu nampa heshima kubwa sana katika kuupambania muziki wa Bongo fleva
Lakini kama tumeamua kuwa wakweli Sugu hana uwezo wa kisanaa kabisa , ukimskiliza vizuri kama kwelu una sikio la music utagundua jamaa ni wakawaida kinyama