Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli tu watanzania wanshindwa kutofautisha heshima na kipaji. Sugu kipaji cha muziki hakuna ila heshima anayo na yote ni kwasababu wakati wanaimba wao hakukuwa na ushindani, so ata ukiimba vibaya hakuna wakukushinda nisha nae.Mkuu nje ya Music Sugu nampa heshima kubwa sana katika kuupambania muziki wa Bongo fleva
Lakini kama tumeamua kuwa wakweli Sugu hana uwezo wa kisanaa kabisa , ukimskiliza vizuri kama kweli una sikio la music utagundua jamaa ni wakawaida kinyama
Time flies mkuu wakiamua kufanya utashangaa, kibaya usichojua kipaji hakizeekiHao wote uliowataja waambie watoe hit song kwa kipindi hiki kudhihirisha ukali wao ..hao wote hawana uwezo
Mkuu una hoja lakini ukweli ni kuwa hiyo list wote hawana talentKwa iyo ili msanii awe na kipaji inatakiwa atoe hit song ngap?,Mb dog hit song ya mwisho ni ya mwaka gani? na je naye hakuwa na kipaji?
list yko haiko sawa nlzan labda ungetaja wale wasio na uwezo kabisa au waliokuwa wanabebwa na media
Yeah, nilikujibu namjua, na ice ice baby nimeicheza sana tu.Wewe unamjua Saleh J?
We jamaa mbishi hivi huzijui au unafanya makusudi? Unataka alizotoa na kundi lake au km Solo Artist?Ntajie hitsong tano za Jaffarai
Kwa hio na wewe unasema ndio yule wa EFM?Yeah, nilikujibu namjua, na ice ice baby nimeicheza sana tu.
Haya nenda kabembelezwe na ngoma zinazokubembelezagaSasa fido vato naye msanii au mbabaishaji hivi unajua talent ww
📌Sugu ana kipaji
Na wanasikio la kuchagua beats za kibabe. Beats zao ni kali sana.Hata kwa mapacha umefeli pakubwa jamaa wanajua sana tu..
Wana flows kali plus uandishi mzuri.
Soggy ana kipaji cha kuimba hadi kutengeneza biti Kali.Mkuu ntajie msanii mkali kwenye hiyo list
Sugu na profesa j heri profesa mara 2Aisee sugu sjijawahi kumuelewa hata kama watasema kwa enz hzo alkua mkali lkn ukiskiliza nymbo zake n kama anaongea tu au hana flow za hip hop kbsa afu kuna abby skillz, pia
Hapa ndio umevuruga sasa..kwani msanii akishindwa kutoa hit kwa kipindi ambacho yupo nje ya muziki kwa muda mrefu sababu kubwa inakua ni kwamba hana kipaji?Hao wote uliowataja waambie watoe hit song kwa kipindi hiki kudhihirisha ukali wao ..hao wote hawana uwezo