Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Unahamisha magoli tu hapa. Kuna post ya jamaa sajo kama sijakosea. Kakuuliza hawana vipaji kwa kigezo gani!? Mashairi, flow n.k, haukujibu. Sasa umekamatiwa kweye kona unajifanya oh flow 0%, sijui nini na nini.

Kwa kifupi wewe mweupe tu, na unawapotezea watu muda. Maana hata "kipaji" unachodai hawana uliulizwa "kipaji" ni nini!? hukujibu.
 
Thank you mkuu kwa ufafanuzi
 
Uko sahihi mkuu [emoji817]
 
P the mc ana kipaji!? Kama anacho, nitajie hit song zake! Maana inaonekana kama yeye ndiye SI Unit yako.
 
Hoja yako inakosa mantiki
 
Wewe hujui maana ya mziki Sugu ukimtoa prof Jay Hakuna Mtu talented Kama Sugu katika hip hope sema nyie watoto wa siku ushoga ndo mnaausudu
Hizi ni itikadi za kisiasa kabisa et talent!!!
 
Tatizo lake anasahau kila mtu ana stail yake ya kurap, sugu anajua kurap na anakipaji hilo liko wazi
 
Tatizo lake anasahau kila mtu ana stail yake ya kurap, sugu anajua kurap na anakipaji hilo liko wazi
Hana huo uwezo ni mbovu sana , wasanii wengi hawaliongelei hili kutokana na ukongwe wa sugu kwenye game....ila ukweli jamaa hana kipaji kabisa analazimisha
 
P the mc ana kipaji!? Kama anacho, nitajie hit song zake! Maana inaonekana kama yeye ndiye SI Unit yako.
Kwa kifupi wasanii wote wa tamaduni ni talented
Najua umeuliza hilo kwa kigezo cha kutoa hit song.

Iko hivi kuna wasanii wa main stream na kuna underground artist

Tamaduni wote hawafanyi muziki wa mainstream lakini mitaa inawaelewa

Usirudie tena kuuliza maswali ya kitoto
 
Umeacha kina shilole, snura sjui gig, Amber ruty na design kama hizo.....eti kina sugu, temba, sugu kama huielewi hip hop sugu huezi muelewa
Kwa uandishi upi na flow ipi? Sugu mnapenda kwasababu ya itikadi za kisiasa ila ukweli hajui mziki na hajui kurap
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawaambia jaffarai hana uwezo afu wana panic

Ndo maana sahv kaamua kubali na car wash yake
Kwani mtu kuwekeza kule kunaweza kuwa kunamlipa zaidi ni kigezo cha kuwa hana kipaji!? Punguza ujinga aisee!
 
Sugu ataendelea kupewa heshima kwasababu.

Msanii wa kwanza kuchezwa redioni.
Msanii mwenye album nyingi (9)
Msanii wa kwanza kuwa mbunge
Msanii wa kwanza kumualika raisi (aliye nadarakani) kwenda kwenye show yake

Lakini kuhusu kipaji cha muziki hana,
 
Kwani mtu kuwekeza kule kunaweza kuwa kunamlipa zaidi ni kigezo cha kuwa hana kipaji!? Punguza ujinga aisee!
We ndo upunguze ujinga coz akili yako haiwezi kuchanganua mambo kabisa
 
We unazidi kuonyesha ujinga wako , yan msanii akishindwa kupata airtime basi kabaniwa na ruge
Haya sasa ruge ameshafariki , huyo buibui mwambie atoe kazi zake zipate airtime
Hivi we jamaa ulikuwa unasikiliza tu muziki au unafatilia muziki?.
Muziki una time na resources. Ndiyo maana huwaoni 112, Boys II men, Buibui, Kiroboto, Zay B na wengineo...kuna time ya kutoka na kuweka mizizi, kuwa na mashabiki, kujijenga kipesa na kuku la kimuziki ndani na nje ya nchi huo muda ukipita ni ngumu kutoboa mara ya pili...hii timing aliiweza Diamond...wengi walistuka too late....GK alikuja kustuka kachelewa akaanza ipeleka East Coast Uganda....Mr Paul naye alichelewa, Mr. Nice alipatia lakini financially hakuwa na plan.....

Kukujibu kuhusu Buibui Ruge anakufa mziki ushampita.
Diamond anakuja kuonesha njia kuwa unaweza ukapambana na system ukatoboa Dogman fans washamuacha....
Ditto anakuwa huru chini ya Ruge fame ishamuacha.....
Ruge anakufa BuiBui ashapotea ktk gemu
 
Kuna wasanii wapo tangu miaka ya 2000 mpaka wanafanya vizuri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…