Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahamisha magoli tu hapa. Kuna post ya jamaa sajo kama sijakosea. Kakuuliza hawana vipaji kwa kigezo gani!? Mashairi, flow n.k, haukujibu. Sasa umekamatiwa kweye kona unajifanya oh flow 0%, sijui nini na nini.Kaka nnavosema hawa nliowataja kuwa hawana vipaji ....nimezingatia Uandishi wao , flow zao n.k
Uandishi 0%
Flow 0%
Wasanii wengi hapo hata kurecord tuu producers walipata shida sana
Mfano ngoma Mh temba ft Dully sykes - Nampenda yeye
Ilikaa studio karibu mwaka coz kila majani akiiskiliza anaona bado haijitoshelezi na jamaa alirudia rudia sana kuingiza voco kutokana na uwezo wake mdogo
Hawa jamaa nkikuambia hawana uwezo ujue nimefanya utafiti sijakurupuka mkuu
Thank you mkuu kwa ufafanuziTuna face Chache za Hiphop Bongo zilizofika juu Nyingi ziliishia kati. Kwa kutumia hizo hizo chache.
Prof jay >>>> Sugu
FA>>> Sugu
Fid>>>>Sugu
Nikki mbishi >>>> Sugu
Ni wengi, nikisema nitaje hapa nitataja karibu wasanii wote wa hiphop.
Japo ukiangalia wote hapo ni wadogo zake, lakini wmemzidi kila kitu kimuziki ukiondoa mafanikio binafsi.
Ameanza mapema anaweza jitetea technology ilikuwa ndogo bongo.
Lakini hata ukiskiliza album yake ya 2004 mbona bado uwezo ni mdogo? Amefanya kolabo na kina FA lakini wamemfunika kwenye ngoma zake mwenye.
Anastahili heshima kwa alichofanya, ni kati ya watu waliolay Njia lakini hii haiongezi chochote kwenye kipaji chake.
Staili yake ya kurap kama Ngonjera au mashairi ya "Malenga wapya" kulazimisha vina hakuna mtu atamsikiliza zama hizi.
Naskiliza album yake " Mimi" saiv, Alijitahidi kuongelea topics za msingi. Ila uwasilishaji doh hapana. Mashairi ya cheka cheka like.
Uko sahihi mkuu [emoji817]Katika wote hao sugu, sugu hajui mziki, hajui kuimba, hana kipaji zaidi ya kujisifu tena hata kujisifia kwenyewe ktk nyimbo zake ni ujinga tu.
Kuna watu watafikiria labda na chuki nae ila ukweli ni kwamba hajui kabisa wala hajui mziki, mashabiki zake wengi ni kwasababu za kisiasa tu hakuna lingine
P the mc ana kipaji!? Kama anacho, nitajie hit song zake! Maana inaonekana kama yeye ndiye SI Unit yako.Hawa jamaa tutaendelea kuwapa heshima kama legends lakini hawakua na vipaji trust me
Hata p the mc kuna ngoma yake moja anasema..
"Waasisi wa muziki bongo hawaja ni inspire/
Complex ndo kanipa ubaya /
Hapa akiwa anamaanisha wasanii wengi kama kina sugu, soggy dog mbali na ukweli kuwa walianza hizi harakati za muziki zamani lakini uhalisia wa mambo ni kuwa hawana talent..so tunawapa heshima kama brothers tuu
Hoja yako inakosa mantikiUnahamisha magoli tu hapa. Kuna post ya jamaa sajo kama sijakosea. Kakuuliza hawana vipaji kwa kigezo gani!? Mashairi, flow n.k, haukujibu. Sasa umekamatiwa kweye kona unajifanya oh flow 0%, sijui nini na nini.
Kwa kifupi wewe mweupe tu, na unawapotezea watu muda. Maana hata "kipaji" unachodai hawana uliulizwa "kipaji" ni nini!? hukujibu.
Hizi ni itikadi za kisiasa kabisa et talent!!!Wewe hujui maana ya mziki Sugu ukimtoa prof Jay Hakuna Mtu talented Kama Sugu katika hip hope sema nyie watoto wa siku ushoga ndo mnaausudu
Tatizo lake anasahau kila mtu ana stail yake ya kurap, sugu anajua kurap na anakipaji hilo liko waziI take him as a very good rapper I made it very clear. Mtu anayemuona hafai kuwa raper mzuri atoe vigezo. Mtu akituhumu aupe na vigezo.
Kwa mfano wako hapo juu maana yake ni kwamba unakubali kweli anaweza kurap ila uandishi wake hujaukubali kwa kuwa ameshindwa kubalance vina...yaani analazimisha vina. Kama hiko ndo kigezo chako weka wazi then wadau waanze kutumia kigezo Cha vina kum characterize Sugu. That is my point.
PC the mc hana kipaji?P the mc ana kipaji!? Kama anacho, nitajie hit song zake! Maana inaonekana kama yeye ndiye SI Unit yako.
Hana huo uwezo ni mbovu sana , wasanii wengi hawaliongelei hili kutokana na ukongwe wa sugu kwenye game....ila ukweli jamaa hana kipaji kabisa analazimishaTatizo lake anasahau kila mtu ana stail yake ya kurap, sugu anajua kurap na anakipaji hilo liko wazi
Kwa kifupi wasanii wote wa tamaduni ni talentedP the mc ana kipaji!? Kama anacho, nitajie hit song zake! Maana inaonekana kama yeye ndiye SI Unit yako.
Kwa uandishi upi na flow ipi? Sugu mnapenda kwasababu ya itikadi za kisiasa ila ukweli hajui mziki na hajui kurapUmeacha kina shilole, snura sjui gig, Amber ruty na design kama hizo.....eti kina sugu, temba, sugu kama huielewi hip hop sugu huezi muelewa
Kwani mtu kuwekeza kule kunaweza kuwa kunamlipa zaidi ni kigezo cha kuwa hana kipaji!? Punguza ujinga aisee![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawaambia jaffarai hana uwezo afu wana panic
Ndo maana sahv kaamua kubali na car wash yake
Hivi we jamaa ulikuwa unasikiliza tu muziki au unafatilia muziki?.We unazidi kuonyesha ujinga wako , yan msanii akishindwa kupata airtime basi kabaniwa na ruge
Haya sasa ruge ameshafariki , huyo buibui mwambie atoe kazi zake zipate airtime
[emoji38][emoji38][emoji38]Tuache masikhara nimesoma hiyo list jamaa anasema ukweli kabisa tena dudu baya ndio kazidi
Kuna wasanii wapo tangu miaka ya 2000 mpaka wanafanya vizuri...Hivi we jamaa ulikuwa unasikiliza tu muziki au unafatilia muziki?.
Muziki una time na resources. Ndiyo maana huwaoni 112, Boys II men, Buibui, Kiroboto, Zay B na wengineo...kuna time ya kutoka na kuweka mizizi, kuwa na mashabiki, kujijenga kipesa na kuku la kimuziki ndani na nje ya nchi huo muda ukipita ni ngumu kutoboa mara ya pili...hii timing aliiweza Diamond...wengi walistuka too late....GK alikuja kustuka kachelewa akaanza ipeleka East Coast Uganda....Mr Paul naye alichelewa, Mr. Nice alipatia lakini financially hakuwa na plan.....
Kukujibu kuhusu Buibui Ruge anakufa mziki ushampita.
Diamond anakuja kuonesha njia kuwa unaweza ukapambana na system ukatoboa Dogman fans washamuacha....
Ditto anakuwa huru chini ya Ruge fame ishamuacha.....
Ruge anakufa BuiBui ashapotea ktk gemu
Mbona hana hit song hivi sasa!? Mwambie atoe tuthibitishe kipaji chake, au unapishana na vigezo vyako!?Mr nice ni pure talent ile