Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Sema hukuwahi kumuelewa ila sio hana kipaji tujue kutofautisha vitu, hata mimi jafarah sikuwahi kumwelewa ila najua anakipaji.
Kwa mtazamo wangu kupaji hana. Ana muonekano mzuri basi
 
Mfano darasa kama umemjua darasa baada ya kuachia wimbo wa muziki hapo utakua unakosea sana.
Darasa ni mc aliekamilika kuanzia flow,uandishi na uwezo wa kucheza na beats.
Nyie mashabiki maandazi ndio mnamfanya apanick na kufikiria kila wimbo kwasasa akipita na stail ya muziki ndio itabamba.
 
Hapo namjua dudu baya, sugu, jaffarai. Hao wengine sijui kama wana majina makubwa. Ila ni kweli wote uliyowataja hawana kipaji wanalazimisha tu kua kwenye game
 
Na anapenda misosi
“…tomato kachumbari weka pilipili kwa mbali… [emoji445]
Viepe jazajaza mishikaki isiungue sana…[emoji445]…”

[emoji23][emoji23]
Upuuzi mtupu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mainstream ndio takataka gani!? Kuna msanii asiyetaka kutoka na kubakia tu underground!? Punguza ujuaji uchwara wa kichwa maji.
Kuna tofauti kati ya upcoming artist na underground artist elewa kwanza hilo
 
Hapo namjua dudu baya, sugu, faffarai. Hao wengine sijui kama wana majina makubwa. Ila ni kweli hawana kipaji wanalazimisha tu kua kwenye game
Uko sahihi mkuu
 
ORODHESHA VIGEZO(CRITERIA) ULIVYOTUMIA
 
Watu wan
Kwani uliwahi kusikia watu wakiwasifu kuwa wana vipaji? Uwezo wao ndiyo uliwafikisha hapo walipo? Who gives a shit about kipaji wakati uwezo can do it all?
Hata Sugu angesikitika sana kama angesikia unamuona ni mwenye kipaji badala ya kuuona uwezo wake wakati amepambana sana kufika hapo alipo.

Na mnao mbishia mleta mada ndiyo mnazidi kubugi, yeye hajaweka gauge yoyote ile bali ameamua kukataa kibishi tu sasa ninyi mnambishia kwa hoja gani?
 
Kuna wasanii wapo tangu miaka ya 2000 mpaka wanafanya vizuri...
Yah...ndiyo maana nikasema kuwa ktk gemu siyo inshu ya kipaji tuu kuna vitu nimevitaja hapo juu ni vya msingi kwa mtu kuweza kuremaim ktk gemu kwa muda mrefu....unaweza ukawa na kipaji kama Bennie Sigel. Huyu for years alikuwa backup kwa Jay Z utasema hana kipaji?
Lakini alipotoka solo na nadhani aligimbana na Jay hakutoboa kulingana na uwezo wake.
Au G unit inamaana wale washkaji wa 50 hawakutoboa au kuweza kuwa ktk gemu mpaka leo kwa kuwa hawana vipaji?
Au tuseme DJ Snox hana kipaji? Hivi unamjua DJ Snox? Rama D, Park Lane, wote siyo kwamba Leo hawako ktk main stream kwa kuwa hawana vipaji hasha...au uasema Kilingeni Msasani hawajui Hip-hop kwa kuwa hawako mainstream...kwamba One the incredible hana kiki kuliko Blue kwa sababu ya kipaji...hapana kuna zaidi ya kipaji kuwa ktk gemu kwa miaka mingi.
 
Umemfahamu Sugu baada ya kuwa Mbunge. Nitajie ngoma za Sugu alizofanya baada ya kuwa Mbunge!?
Ww ni mjinga na unaendeshwa na itikadi upande za kisiasa tu,sasa sugu ana uandishibgn wa maana ktk nyimbo zake?
Flow mbovu kabisa na uandishi ndo zero kabisa.

Kuweni wa kweli sugu ana heshima yake tu Kama muasisi ila kiukweli hajui kabisa ku rap na uandishi pia ni zero
 
Okay, kumbe kuna kitu ushakijibu hapa.
Sasa kama unaelewa hili ndiyo maana tukasema kigezo msanii kutambulika kuwa anakipaji siyo hitsongs. Kwanza tukubaliane ktk vigezo.
Inshu hapa ni vigezo gani vinatumika kusema huyu hana huyu anacho. Inshu ipo hapo. Na wala si inshu ya ku hit kuanzia 2000 mpaka sasa ingawa wengine wameweza lakini si kwa sababu wana kipaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…