Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe maku funga bakuli lako.Watu hawawezi kukujibu swali la kijinga kama hilo
Sasa mambo madogo kama hayo huyajui huku JF unafuata nini
Rudi facebook kacheze na watoto wenzio
Eti Sugu ndio msanii wa kwanza . Pimbi wewe!? Yule Saleh Jabir alikuwa muigizaji!? Bwana Misosi ana kipaji!? Kwa hiyo Bwana Misosi ndio SI Unit yako!?We fala kweli, Sugu ndo msanii wa kwanza ngoma yake kuchezwa redioni , kwa maana hiyo ndo bidhaa pekee iliyokua sokoni , so watu hawakua na option lazima waikubali tuu, lakini baada ya kina Prof jay na HBC walivyoingia mzigoni , basi ndo ukawa mwisho wa SUGU
Ukiskiliza ngoma ya Bwana Misosi - Nitoke vipi kuna line anasema
"Sugu ni mkongwe
Wabongo wamemchoka na kimtindo wamemtema
Hapa akimaanisha kuwa sugu sio kitu tena , hiyo ilikua ni 2002 kuelekea 2003
Sugu kama angekua na uwezo basi huo uwezo tungeuona kwa kubaki kwenye mainstream kwa muda mrefu
Halafu wamemueka kwenye category ya msanii bora mwaka huu, najiuliza hivi wanagawa tuzo za upishi au za wasaniiSure shishi naye abaki kwenye chakula huku kwenye music aachane nako
JIbu unalo kipaji ni nini.Nimeuliza hapo "kipaji ni nini"!? Hujaona hilo swali au umeamua kulipotezea!? Hivi Sugu anaimba au ana_rap!? Kama muonekano unambeba, walioanza kumsikia redioni walikuwa wanamuona muonekano wake!? Acha porojo aisee! Au unadhani alikuwa anafanya kazi enzi za internet!?
Mtu anaposema hana kipaji anakuwa ameenda mbali kidogo. Hata kufanya anachofanya ni kipaji.Nimeuliza hapo "kipaji ni nini"!? Hujaona hilo swali au umeamua kulipotezea!? Hivi Sugu anaimba au ana_rap!? Kama muonekano unambeba, walioanza kumsikia redioni walikuwa wanamuona muonekano wake!? Acha porojo aisee! Au unadhani alikuwa anafanya kazi enzi za internet!?
Nilazimishe ili iweje!? Hata mimi kimtazamo wangu naona "wewe ni mshamba fulani unayedai watu hawana kipaji kwa wanachofanya huku hujui kipaji ni nini".JIbu unalo kipaji ni nini.
Mimi naona hana kipaji huo ni mtazamo wangu na utabaki hivyo. Kama vile unalazimisha niwe na mtazamo kama wako.
Jaffarai hana kipaji na hajui kuimba.
Ndo nishasema na huna cha kunifanya.Nilazimishe ili iweje!? Hata mimi kimtazamo wangu naona "wewe ni mshamba fulani unayedai watu hawana kipaji kwa wanachofanya huku hujui kipaji ni nini".
Kufanya tu mashairi yanayoeleweka kwa watu kirahisi na hiyo choice of topics hiyo nayo ni kipaji. Ugumu wa mashairi au mashairi ya kuungaunga yasiyo direct sidhani ndio kunafanya uwe msanii bora. Kama watu wanam_rate higher wewe mtu mmoja unawaona wao hawajui muziki na wewe ndio unajua!?Mtu anaposema hana kipaji anakuwa ameenda mbali kidogo. Hata kufanya anachofanya ni kipaji.
Ukubwa wa hicho kipaji ndio tatizo, ni msanii wa kawaida lakini anapenda kuwa " high rated" au watu wanam "rate higher" kuliko alivyo.
Jina kubwa kuliko kipaji !!!!!!
Mfano ukimsikiliza Sugu mashairi yake anaandika "kiurahisi" kiasi kwamba yapo "more direct" na kuondoa ila ladha ya kusikiliza kazi ya sanaa.
Mfano: kwenye ngoma yake ya watoto wa mitaani...
Nakatiza Mkwep
Napita mpaka samora/
Naona wanazurura/
Mazingira sio bora/
Wengi ni pekupeku na wachache wana ndala/
Wengine wana usingizi wanatembea wamelala/
Wanapita wanaomba hela/
Wanatafuta chakula/.
Mbali na kuwa mashairi ni "mepesi" lakini pia uwasilishaji wake "usiobadilika" unampunguzia credit.....
Ukiondoa beat unaweza dhani unaskiliza Nyimbo moja album nzima.
Nachomkubali ni choice ya Topics, angalau alikuwa ana topics relative kwenye jamii.
Jina la Sugu ni Kubwa kuliko uwezo wake wa kimuziki, huu ndio msimamo wangu
Hata mimi nimesema hapo "kuwa wewe ni mshamba unayedai watu hawana kipaji huku ukiwa hujui kipaji ni nini" na huna cha kunifanya.Ndo nishasema na huna cha kunifanya.
Sawa. Haya kakojoe ulaleHata mimi nimesema hapo "kuwa wewe ni mshamba unayedai watu hawana kipaji huku ukiwa hujui kipaji ni nini" na huna cha kunifanya.
Mimi naSawa. Haya kakojoe ulale
Mimi nataka kukukojolea wewe.Sawa. Haya kakojoe ulale
Uwasilishaji wake ni wakawaida mnoo mtu yoyote anafanyaSugu ni storyteller na muandishi mzuri anajua kuchafua haswa kwenye ngoma na hip hop sio vina au punch hip hop ujumbe na kupangilia mikasa na harakati za kila siku. Hapo kwa sugu nakataa mkuu