Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Stress utakuwa nazo wewe. Eti Tamaduni wanapenda kubaki underground! Smh
Hujaelewa , tatizo ukishakua na upeo mdogo afu ukaforce ku deal na vitu usivyo na uwezo navyo haya ndo yanakua matokeo yake
 
Sugu ni storyteller na muandishi mzuri anajua kuchafua haswa kwenye ngoma na hip hop sio vina au punch hip hop ujumbe na kupangilia mikasa na harakati za kila siku. Hapo kwa sugu nakataa mkuu
 
Kwa Sugu nakazia[emoji375]....Uandishi na flow yake hata mimi naweza fanya.
 
We fala kweli, Sugu ndo msanii wa kwanza ngoma yake kuchezwa redioni , kwa maana hiyo ndo bidhaa pekee iliyokua sokoni , so watu hawakua na option lazima waikubali tuu, lakini baada ya kina Prof jay na HBC walivyoingia mzigoni , basi ndo ukawa mwisho wa SUGU

Ukiskiliza ngoma ya Bwana Misosi - Nitoke vipi kuna line anasema

"Sugu ni mkongwe
Wabongo wamemchoka na kimtindo wamemtema

Hapa akimaanisha kuwa sugu sio kitu tena , hiyo ilikua ni 2002 kuelekea 2003

Sugu kama angekua na uwezo basi huo uwezo tungeuona kwa kubaki kwenye mainstream kwa muda mrefu
Eti Sugu ndio msanii wa kwanza . Pimbi wewe!? Yule Saleh Jabir alikuwa muigizaji!? Bwana Misosi ana kipaji!? Kwa hiyo Bwana Misosi ndio SI Unit yako!?
 
Nimeuliza hapo "kipaji ni nini"!? Hujaona hilo swali au umeamua kulipotezea!? Hivi Sugu anaimba au ana_rap!? Kama muonekano unambeba, walioanza kumsikia redioni walikuwa wanamuona muonekano wake!? Acha porojo aisee! Au unadhani alikuwa anafanya kazi enzi za internet!?
JIbu unalo kipaji ni nini.
Mimi naona hana kipaji huo ni mtazamo wangu na utabaki hivyo. Kama vile unalazimisha niwe na mtazamo kama wako.
Jaffarai hana kipaji na hajui kuimba.
 
Mtu anaposema hana kipaji anakuwa ameenda mbali kidogo. Hata kufanya anachofanya ni kipaji.
Ukubwa wa hicho kipaji ndio tatizo, ni msanii wa kawaida lakini anapenda kuwa " high rated" au watu wanam "rate higher" kuliko alivyo.
Jina kubwa kuliko kipaji !!!!!!
Mfano ukimsikiliza Sugu mashairi yake anaandika "kiurahisi" kiasi kwamba yapo "more direct" na kuondoa ila ladha ya kusikiliza kazi ya sanaa.
Mfano: kwenye ngoma yake ya watoto wa mitaani...

Nakatiza Mkwep
Napita mpaka samora/
Naona wanazurura/
Mazingira sio bora/
Wengi ni pekupeku na wachache wana ndala/
Wengine wana usingizi wanatembea wamelala/
Wanapita wanaomba hela/
Wanatafuta chakula/.
Mbali na kuwa mashairi ni "mepesi" lakini pia uwasilishaji wake "usiobadilika" unampunguzia credit.....
Ukiondoa beat unaweza dhani unaskiliza Nyimbo moja album nzima.

Nachomkubali ni choice ya Topics, angalau alikuwa ana topics relative kwenye jamii.
Jina la Sugu ni Kubwa kuliko uwezo wake wa kimuziki, huu ndio msimamo wangu
 
JIbu unalo kipaji ni nini.
Mimi naona hana kipaji huo ni mtazamo wangu na utabaki hivyo. Kama vile unalazimisha niwe na mtazamo kama wako.
Jaffarai hana kipaji na hajui kuimba.
Nilazimishe ili iweje!? Hata mimi kimtazamo wangu naona "wewe ni mshamba fulani unayedai watu hawana kipaji kwa wanachofanya huku hujui kipaji ni nini".
 
Nilazimishe ili iweje!? Hata mimi kimtazamo wangu naona "wewe ni mshamba fulani unayedai watu hawana kipaji kwa wanachofanya huku hujui kipaji ni nini".
Ndo nishasema na huna cha kunifanya.
 
Mtu anaposema hana kipaji anakuwa ameenda mbali kidogo. Hata kufanya anachofanya ni kipaji.
Ukubwa wa hicho kipaji ndio tatizo, ni msanii wa kawaida lakini anapenda kuwa " high rated" au watu wanam "rate higher" kuliko alivyo.
Jina kubwa kuliko kipaji !!!!!!
Mfano ukimsikiliza Sugu mashairi yake anaandika "kiurahisi" kiasi kwamba yapo "more direct" na kuondoa ila ladha ya kusikiliza kazi ya sanaa.
Mfano: kwenye ngoma yake ya watoto wa mitaani...

Nakatiza Mkwep
Napita mpaka samora/
Naona wanazurura/
Mazingira sio bora/
Wengi ni pekupeku na wachache wana ndala/
Wengine wana usingizi wanatembea wamelala/
Wanapita wanaomba hela/
Wanatafuta chakula/.
Mbali na kuwa mashairi ni "mepesi" lakini pia uwasilishaji wake "usiobadilika" unampunguzia credit.....
Ukiondoa beat unaweza dhani unaskiliza Nyimbo moja album nzima.

Nachomkubali ni choice ya Topics, angalau alikuwa ana topics relative kwenye jamii.
Jina la Sugu ni Kubwa kuliko uwezo wake wa kimuziki, huu ndio msimamo wangu
Kufanya tu mashairi yanayoeleweka kwa watu kirahisi na hiyo choice of topics hiyo nayo ni kipaji. Ugumu wa mashairi au mashairi ya kuungaunga yasiyo direct sidhani ndio kunafanya uwe msanii bora. Kama watu wanam_rate higher wewe mtu mmoja unawaona wao hawajui muziki na wewe ndio unajua!?
 
Ndo nishasema na huna cha kunifanya.
Hata mimi nimesema hapo "kuwa wewe ni mshamba unayedai watu hawana kipaji huku ukiwa hujui kipaji ni nini" na huna cha kunifanya.
 
“Sugu kama angekua na uwezo basi huo uwezo tungeuona kwa kubaki kwenye mainstream kwa muda mrefu”

Kwa hii point yako Ina maana watu kama Dola Soul na Pig black hawana uwezo kwa sababu tu hawakubaki mainstream kwa muda mrefu?
 
Kwenye hiyo list Yako....Nitolee Mnyalu Tafadhali!.....

Usimfananishe Mnyalu mike tee na hizo takataka zingine!..... King wa styles na flows za kinyalu.....zile flows za kinyalu mbaba....mpaka kesho zitaendelea kubamba tu...

Mike tee alikuwa na ka-style kake flani very unique!.....ka uchanaji....kitoz flani....kinyalu!...tamu sana! ambayo hakuna amewahi ipatia Hadi keshokutwa mzee....
 
Sugu ni storyteller na muandishi mzuri anajua kuchafua haswa kwenye ngoma na hip hop sio vina au punch hip hop ujumbe na kupangilia mikasa na harakati za kila siku. Hapo kwa sugu nakataa mkuu
Uwasilishaji wake ni wakawaida mnoo mtu yoyote anafanya
 
Halafu wamemueka kwenye category ya msanii bora mwaka huu, najiuliza hivi wanagawa tuzo za upishi au za wasanii
Bado tuna tatizo kubwa sana kwenye hii industry ndo maana wenye akili washajitoa kwenye hizo tuzo
 
Back
Top Bottom