Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Kwa mtazamo wangu kupaji hana. Ana muonekano mzuri basiSema hukuwahi kumuelewa ila sio hana kipaji tujue kutofautisha vitu, hata mimi jafarah sikuwahi kumwelewa ila najua anakipaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mtazamo wangu kupaji hana. Ana muonekano mzuri basiSema hukuwahi kumuelewa ila sio hana kipaji tujue kutofautisha vitu, hata mimi jafarah sikuwahi kumwelewa ila najua anakipaji.
Ukisema jaffarai ana flow utakua mwangaKwamba Jaffarai hana flow Kali?
Ushawahi kumsikiliza Jaffarai kwenye nyimbo za wateule? Au umemfahamu baada ya kuanza ku switch. Wachanaji wengi wameharibu baada ya wimbi la switching of styles.Ukisema jaffarai ana flow utakua mwanga
Jamaa kasema ukweli kwa 98%
Hapo namjua dudu baya, sugu, jaffarai. Hao wengine sijui kama wana majina makubwa. Ila ni kweli wote uliyowataja hawana kipaji wanalazimisha tu kua kwenye gameKalapina,
Huyu jamaa mbali na kuwa na harakati nyingi akiwa pamoja na kundi lake la Kikosi cha mizinga .ukweli ni kwamba hana kipaji cha music. Alipata umaarufu coz ametoka kipindi wasanii ni wachache
Sugu
Huyu jamaa ana majina kibao kama Mr two, jongwe, too proud na sasa anajiita Taita licha ya kuwa na heshima kama moja ya waasisi wa music wa hiphop tanzania , ukweli ni kwamba hana kipaji cha music
Jaffarai
Huyu ni moja ya member wa wateule alitamba na wimbo wa niko bize .lakini hakuweza kudumu kwenye game kwa muda mrefu kutokana ukweli hana kipaji
Mchizi mox
Huyu pia ni member mwingine wa wateule ngoma zake zilizowahi kupata airtime ni mambo vp na chupa nyingine . lakini uwezo wake ni wa kawaida sana
Mike tee mnyalu
Huyu jamaa alipata airtime miaka ya zamani kwa ngoma zake lakini ukimskiliza ni wazi hana uwezo kabisa. Ni moja kati ya wasanii ambao huwa wanaandikiwa
Soggydog hunter
Huyu jamaa bora angebaki kwenye u presenter tuu huku kwenye music aliforce tuu hana uwezo kabisa ana ngoma nyingi ila iliyopenya ni kibanda cha simu pekee yake
Bou nako
Huyu alikua member wa N2N lakini tangu hakua na uwezo kabisa .nafkir wana walimbeba tuu kutokana na love .ila kwenye music jamaa hana kipaji
Fido vato
Huyu member wa vatokoko soldiers ni empy kabisa , analazimisha fan tuu ila ukweli anaujua kuwa hana uwezo wowote ule zaidi ya kujikuta gangstar
Kr mulah
Huyu ndio founder wa style ya kucheza Mapanga . ameanza sanaa muda mrefu sana lakini ukimskiliza utagundua jamaa hana uwezo wowote kwenye music kwa kifupi hana kipaji
Mh temba
Huyu ni member wa TMK wanaume family mwanzoni alibahatisha ngoma kama tatu zikaenda mjini, baadaye akaja kuungana na chege wakatoa hadi album..ila ukimfuatilia vizur jamaa hana
uwezo kabisa
Rich one
Huyu pia ni member wa TMK alitamba na ngoma moja aliyomshirikisha Juma nature inaitwa hatuna kitu.baada ya hapo hajawai kutoa hitsong tena, Jamaa anasifika kwa utapeli wa kuandaa show na wasanii fake huko mkoani afu anapiga hela
Dudu baya
Huyu jamaa aliotea ngoma kama tatu tuu ambazo zilimtambulisha vyema kwenye game .lakini alipata jina kwakua kipindi anatoka hapakua na upinzani mkali kama ilivyo sasa
Dark master
Huyu ndo muhasisi wa Chamber squard Nampa heshima kubwa sana kwa kuweza kuiweka dodoma kwenye ramani ya muziki , Lakini tukiongelea uwezo binafsi .jamaa anauwezo wa kawaida sana
John mjema,
The late John mjema alitamba na wimbo wa wachumba 30. Na ngoma zingine alizofanya kwenye kundi lao aliokua na kina the late steve 2kna buibui .lakini tukimzungumzia binafsi kimuziki jamaa hana kipaji cha muziki
Maujanja suppliers
Hawa jamaa nawakubali kwa harakati zao za street lakini kwenye music watupishe hawana vipaji .lakini wao wamekua wanalalamika wanabaniwa kitu ambacho sio ukweli
Kama unafuatilia music wa bongo fleva utakua unakubaliana na mimi hawa jamaa hawana talent za music kabisa
Me naongelea maana ya jina too proud lilipotokeaView attachment 2583280
Angalia hiyo ni two au too
ORODHESHA VIGEZO(CRITERIA) ULIVYOTUMIAKalapina,

Wewe ni mpumbavu mwanzo ukumwambia mtu humu akutajie hit songs za jaffarie tano ukimaanisha kwamba kwakua hana hit songs tano bas Hana kipaji.Niwap nlisema hivo rejea uzi wangu upya
Mkuu kama hakujua hilo atajua kweli kama Prof Jay alikuwa anajiita Nigger Jay?View attachment 2583284
Angalia hiyo Kanda ilivyoandikwa mbili ya kilumi
Kwani uliwahi kusikia watu wakiwasifu kuwa wana vipaji? Uwezo wao ndiyo uliwafikisha hapo walipo? Who gives a shit about kipaji wakati uwezo can do it all?Kalapina,
Huyu jamaa mbali na kuwa na harakati nyingi akiwa pamoja na kundi lake la Kikosi cha mizinga .ukweli ni kwamba hana kipaji cha music. Alipata umaarufu coz ametoka kipindi wasanii ni wachache
Sugu
Huyu jamaa ana majina kibao kama Mr two, jongwe, too proud na sasa anajiita Taita licha ya kuwa na heshima kama moja ya waasisi wa music wa hiphop tanzania , ukweli ni kwamba hana kipaji cha music
Jaffarai
Huyu ni moja ya member wa wateule alitamba na wimbo wa niko bize .lakini hakuweza kudumu kwenye game kwa muda mrefu kutokana ukweli hana kipaji
Mchizi mox
Huyu pia ni member mwingine wa wateule ngoma zake zilizowahi kupata airtime ni mambo vp na chupa nyingine . lakini uwezo wake ni wa kawaida sana
Mike tee mnyalu
Huyu jamaa alipata airtime miaka ya zamani kwa ngoma zake lakini ukimskiliza ni wazi hana uwezo kabisa. Ni moja kati ya wasanii ambao huwa wanaandikiwa
Soggydog hunter
Huyu jamaa bora angebaki kwenye u presenter tuu huku kwenye music aliforce tuu hana uwezo kabisa ana ngoma nyingi ila iliyopenya ni kibanda cha simu pekee yake
Bou nako
Huyu alikua member wa N2N lakini tangu hakua na uwezo kabisa .nafkir wana walimbeba tuu kutokana na love .ila kwenye music jamaa hana kipaji
Fido vato
Huyu member wa vatokoko soldiers ni empy kabisa , analazimisha fan tuu ila ukweli anaujua kuwa hana uwezo wowote ule zaidi ya kujikuta gangstar
Kr mulah
Huyu ndio founder wa style ya kucheza Mapanga . ameanza sanaa muda mrefu sana lakini ukimskiliza utagundua jamaa hana uwezo wowote kwenye music kwa kifupi hana kipaji
Mh temba
Huyu ni member wa TMK wanaume family mwanzoni alibahatisha ngoma kama tatu zikaenda mjini, baadaye akaja kuungana na chege wakatoa hadi album..ila ukimfuatilia vizur jamaa hana
uwezo kabisa
Rich one
Huyu pia ni member wa TMK alitamba na ngoma moja aliyomshirikisha Juma nature inaitwa hatuna kitu.baada ya hapo hajawai kutoa hitsong tena, Jamaa anasifika kwa utapeli wa kuandaa show na wasanii fake huko mkoani afu anapiga hela
Dudu baya
Huyu jamaa aliotea ngoma kama tatu tuu ambazo zilimtambulisha vyema kwenye game .lakini alipata jina kwakua kipindi anatoka hapakua na upinzani mkali kama ilivyo sasa
Dark master
Huyu ndo muhasisi wa Chamber squard Nampa heshima kubwa sana kwa kuweza kuiweka dodoma kwenye ramani ya muziki , Lakini tukiongelea uwezo binafsi .jamaa anauwezo wa kawaida sana
John mjema,
The late John mjema alitamba na wimbo wa wachumba 30. Na ngoma zingine alizofanya kwenye kundi lao aliokua na kina the late steve 2kna buibui .lakini tukimzungumzia binafsi kimuziki jamaa hana kipaji cha muziki
Maujanja suppliers
Hawa jamaa nawakubali kwa harakati zao za street lakini kwenye music watupishe hawana vipaji .lakini wao wamekua wanalalamika wanabaniwa kitu ambacho sio ukweli
Kama unafuatilia music wa bongo fleva utakua unakubaliana na mimi hawa jamaa hawana talent za music kabisa
Yah...ndiyo maana nikasema kuwa ktk gemu siyo inshu ya kipaji tuu kuna vitu nimevitaja hapo juu ni vya msingi kwa mtu kuweza kuremaim ktk gemu kwa muda mrefu....unaweza ukawa na kipaji kama Bennie Sigel. Huyu for years alikuwa backup kwa Jay Z utasema hana kipaji?Kuna wasanii wapo tangu miaka ya 2000 mpaka wanafanya vizuri...
Ww ni mjinga na unaendeshwa na itikadi upande za kisiasa tu,sasa sugu ana uandishibgn wa maana ktk nyimbo zake?Umemfahamu Sugu baada ya kuwa Mbunge. Nitajie ngoma za Sugu alizofanya baada ya kuwa Mbunge!?
Ww pimbi elewa mada sio msaniiRap wewe tuone hakuna shida
Okay, kumbe kuna kitu ushakijibu hapa.Kwa kifupi wasanii wote wa tamaduni ni talented
Najua umeuliza hilo kwa kigezo cha kutoa hit song.
Iko hivi kuna wasanii wa main stream na kuna underground artist
Tamaduni wote hawafanyi muziki wa mainstream lakini mitaa inawaelewa
Usirudie tena kuuliza maswali ya kitoto