Mpumbavu ni ww, coz kumwambia mtu anitajie hit song za msanii , haina maana natumia kigezo hicho tuuWewe ni mpumbavu mwanzo ukumwambia mtu humu akutajie hit songs za jaffarie tano ukimaanisha kwamba kwakua hana hit songs tano bas Hana kipaji.
Acha uzuzu.
Nilikaona mwaka janaKweli ulichoandika. Soggy anao huo wimbo "nikisema love love you too" si ukumbuki jina ila nakumbuka hayo maneno yakiimbwa na Soggy.
Pimbi kinyeo chakoWw pimbi elewa mada sio msanii
Me nimewaskiliza sana hao watu ...trust me hawana vipajiAah soggy dog na "kibanda cha simu", "zai" mtoe kwenye hiyo list anajua sana
Jaffai pia ana kipaji acha wivu
Mh Temba, sikiliza ngoma yake "nampenda yeye" afu ulete majibu, yuko vizuri.
Kwanza kipaji cha mtu wewe unakipimaje mkuu? Wingi wa ngoma ama ngoma nzuri?
Basi labda kila mtu na jinsi anavyoona kipaji cha mtu, mimi nawaona wako vizuri mnoMe nimewaskiliza sana hao watu ...trust me hawana vipaji
Wewe ndio mjinga, mpumbavu na punguani. Umeanza kumsikiliza Sugu baada ya kuwa mbunge ndio unajifanya kuhukumu. Sugu wa baada ya ubunge si anafanya kujifurahisha tu. Yuko serious na game!?Ww ni mjinga na unaendeshwa na itikadi upande za kisiasa tu,sasa sugu ana uandishibgn wa maana ktk nyimbo zake?
Flow mbovu kabisa na uandishi ndo zero kabisa.
Kuweni wa kweli sugu ana heshima yake tu Kama muasisi ila kiukweli hajui kabisa ku rap na uandishi pia ni zero
Eti Tamaduni hawataki kwenda mainstream. Upumbavu huu sijui mmemezeshwa na nani!?Kuna tofauti kati ya upcoming artist na underground artist elewa kwanza hilo
Nimeuliza hapo "kipaji ni nini"!? Hujaona hilo swali au umeamua kulipotezea!? Hivi Sugu anaimba au ana_rap!? Kama muonekano unambeba, walioanza kumsikia redioni walikuwa wanamuona muonekano wake!? Acha porojo aisee! Au unadhani alikuwa anafanya kazi enzi za internet!?Hajui kuimba. Ni muonekano unambeba
Anajisahaulisha huyu mchambuzi maandazi.Wewe ni mpumbavu mwanzo ukumwambia mtu humu akutajie hit songs za jaffarie tano ukimaanisha kwamba kwakua hana hit songs tano bas Hana kipaji.
Acha uzuzu.
Stress utakuwa nazo wewe. Eti Tamaduni wanapenda kubaki underground! SmhUnajibu kimhemko sana... Inaonekana stress zinakusumbua
Inawezekana wewe ndo huna kipaji hata cha kusikiliza music
We fala kweli, Sugu ndo msanii wa kwanza ngoma yake kuchezwa redioni , kwa maana hiyo ndo bidhaa pekee iliyokua sokoni , so watu hawakua na option lazima waikubali tuu, lakini baada ya kina Prof jay na HBC walivyoingia mzigoni , basi ndo ukawa mwisho wa SUGUNimeuliza hapo "kipaji ni nini"!? Hujaona hilo swali au umeamua kulipotezea!? Hivi Sugu anaimba au ana_rap!? Kama muonekano unambeba, walioanza kumsikia redioni walikuwa wanamuona muonekano wake!? Acha porojo aisee! Au unadhani alikuwa anafanya kazi enzi za internet!?
Unajua hit song ya mwisho temba kutoa kama solo artist ilikua ni mwaka gani?
Watu hawawezi kukujibu swali la kijinga kama hiloNimeuliza hapo "kipaji ni nini"!? Hujaona hilo swali au umeamua kulipotezea!? Hivi Sugu anaimba au ana_rap!? Kama muonekano unambeba, walioanza kumsikia redioni walikuwa wanamuona muonekano wake!? Acha porojo aisee! Au unadhani alikuwa anafanya kazi enzi za internet!?