Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Wewe ni mpumbavu mwanzo ukumwambia mtu humu akutajie hit songs za jaffarie tano ukimaanisha kwamba kwakua hana hit songs tano bas Hana kipaji.
Acha uzuzu.
Mpumbavu ni ww, coz kumwambia mtu anitajie hit song za msanii , haina maana natumia kigezo hicho tuu
 
Kila binadamu duniani ana kipaji cha kuimba.Ndo maana kuna waimbaji kibao kuanzia kwenye kumbi za dini,starehe hadi mitaani.Tofauti ni kwamba unaimba nini nakwalengo gani nakwakiwango gani.Tofauti ya waimbaji inaletwa na utunzi.hapa kwenye utunzi ndipo shida ilipo kwa wengi kwasababu ndipo panapotofautisha waimbaji na ubora wakile kinachoimbwa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Aah soggy dog na "kibanda cha simu", "zai" mtoe kwenye hiyo list anajua sana
Jaffai pia ana kipaji acha wivu
Mh Temba, sikiliza ngoma yake "nampenda yeye" afu ulete majibu, yuko vizuri.

Kwanza kipaji cha mtu wewe unakipimaje mkuu? Wingi wa ngoma ama ngoma nzuri?
 
Me nimewaskiliza sana hao watu ...trust me hawana vipaji
 
Ww ni mjinga na unaendeshwa na itikadi upande za kisiasa tu,sasa sugu ana uandishibgn wa maana ktk nyimbo zake?
Flow mbovu kabisa na uandishi ndo zero kabisa.

Kuweni wa kweli sugu ana heshima yake tu Kama muasisi ila kiukweli hajui kabisa ku rap na uandishi pia ni zero
Wewe ndio mjinga, mpumbavu na punguani. Umeanza kumsikiliza Sugu baada ya kuwa mbunge ndio unajifanya kuhukumu. Sugu wa baada ya ubunge si anafanya kujifurahisha tu. Yuko serious na game!?
 
Hajui kuimba. Ni muonekano unambeba
Nimeuliza hapo "kipaji ni nini"!? Hujaona hilo swali au umeamua kulipotezea!? Hivi Sugu anaimba au ana_rap!? Kama muonekano unambeba, walioanza kumsikia redioni walikuwa wanamuona muonekano wake!? Acha porojo aisee! Au unadhani alikuwa anafanya kazi enzi za internet!?
 
We fala kweli, Sugu ndo msanii wa kwanza ngoma yake kuchezwa redioni , kwa maana hiyo ndo bidhaa pekee iliyokua sokoni , so watu hawakua na option lazima waikubali tuu, lakini baada ya kina Prof jay na HBC walivyoingia mzigoni , basi ndo ukawa mwisho wa SUGU

Ukiskiliza ngoma ya Bwana Misosi - Nitoke vipi kuna line anasema

"Sugu ni mkongwe
Wabongo wamemchoka na kimtindo wamemtema

Hapa akimaanisha kuwa sugu sio kitu tena , hiyo ilikua ni 2002 kuelekea 2003

Sugu kama angekua na uwezo basi huo uwezo tungeuona kwa kubaki kwenye mainstream kwa muda mrefu
 
Nimeuliza hapo "kipaji ni nini"!? Hujaona hilo swali au umeamua kulipotezea!? Hivi Sugu anaimba au ana_rap!? Kama muonekano unambeba, walioanza kumsikia redioni walikuwa wanamuona muonekano wake!? Acha porojo aisee! Au unadhani alikuwa anafanya kazi enzi za internet!?
Watu hawawezi kukujibu swali la kijinga kama hilo

Sasa mambo madogo kama hayo huyajui huku JF unafuata nini
Rudi facebook kacheze na watoto wenzio
 
Back
Top Bottom