Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Wewe ndio mjinga, mpumbavu na punguani. Umeanza kumsikiliza Sugu baada ya kuwa mbunge ndio unajifanya kuhukumu. Sugu wa baada ya ubunge si anafanya kujifurahisha tu. Yuko serious na game!?
Hata kama nimeanza msikiliza leo kwani nyimbo zake zote si zipo!!nimesikiliza nyimbo zake nyingi kiufupi hajui
 
Juzi nmeona tuzo za TMA Bill Nas yupo kwenye category ya msanii bora wa Hip hop kama mashabiki wenyewe ndio hawa sishangai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa hilo ni tatizo la waandaji tuzo

Lakini nakwambia ukweli hata SUGU angekua kwenye hiyo category bado ningeona ni upuuzi tuu kama ww unavyo shangaa Bilnass kuingia kwenye tuzo hizo wakati hafanyi HIPHOP
 
Aisee! Sitaki kuamini. Yaani ulitarajia Sugu awe na zile midondoko kama ya mbele 1995!? Unajua alikuwa inspired na nani labda!? Hiyo 1995 unayodai wewe ni ile game ya huko ndio unaweza sema ilikuwa at its peak wakati game yetu ndio ilikuwa inatambaa. By the way hebu nitajie watu ambao walikuwa wako level moja na huko mbele hiyo 1995 hapa Bongo.
 
Kipindi zinatoka hapakua na competition
Endelea kuandika pumba. Nini kiliwafanya walioanza game na Sugu kupotea na Sugu kubaki!? Usije ukaniambia wakati Sugu anafanya muziki hakukuwa na wasanii wengine. Naomba jibu hapo
 
Hoja inaweza ikawa haijaeleweka vyema au mimi sijaiwasilisha Vyema.
 
Kama ninge ..kama ningekuwa mimi star[emoji445]
Nahisi jina langu kila mtaa lingezagaa[emoji445]
Anzia ngazi Taifa, mpaka mkoa[emoji445]
Vibanda vya mamc katuni vyote ningebomoa[emoji445]


Jamaa alikuwa ananata na beats kali za majani pale bongo records


Huyu mwamba alikuwa na hits

Kama
Mnyalu
Nampenda ft nature

N.k

Huyu aliyetoa mada afungwe pingu apelekwe selo
 
Kabisaa,
Awekwe selo kwa udanganyifu
 
Acheni mihemko jamaa enu huyo hamna kitu
 
Yes kuvichaka namjua vizur sahv si presenter wa EFM ?
Saleh Jabir kutokana na uzi huu nadhani sio huyo unayemsema wewe,hapa amezungumziwa Saleh Jabir anayetambulika kama mwanzilishi wa kuimba wimbo wa kwanza au chache za mwanzoni za mtindo wa rap ambapo aliutohoa wimbo wa ice ice baby kwa kuchukua midundo (beat) naye kuweka maneno ya kiswahili,wakati huo huyo mtangazaji unayemsema alikuwa "mama nnya"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…