Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Nje ya muziki anaitwa Joseph Mbilinyi, sasa ukimuita Sugu(jina la sanaa yake) utasemaje hana kipaji, na wakati hapo alipofika sasa ni kwasababu ya sanaa. Labda useme kipaji ni nini?
Sugu anauwezo wa kawaida sana kwenye rap
 
Ndio maana kuna "fact" na "opinion"
Haya ni maoni yako mkuu. Asante

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Sugu anauwezo wa kawaida sana kwenye rap
Kila mtu ana namna yake ya kuwakilisha kazi yake ya sanaa, ungesema huvutiwi na namna ya kughani(kuchana) kwa Sugu ungeeleweka, lakini kwamba hana kipaji kwasababu hajui kuRap sio sahihi. Je hujaon hata uwezo wa kuandika mashairi mazuri?
 
Unajua ku criticize ni rahisi sana, maana hutumii nguvu nyingi.

Hisia zinaniambia ni kama vile hao wasanii uliowataja, wengi wao hukupata nafasi ya kuwasikiliza pindi wakiwa bado kwenye game. Lakini hata ukiwa sikiliza now as throw back, still kuna vibe fulani utalipata.

Sugu - Moto Chini
Temba - Nimekubali
Soggy - Kibanda Cha simu
Kala Pina- Mstari wa mbele
Mike T - Nakupenda.

Nimechagua baadhi ya nyimbo, Toka kwa baadhi ya wasanii uliotaja.

Moja kati ya ugomvi mkubwa ambao ulishawahi kutokea kati ya sisi watoto kipindi tunakua pale nyumbani, ni pale sister yetu aliporekodia igizo la radio, kwenye Kanda ya album ya Solo Thang, Kima Cha chini.

Mkuu, hujui ukisemacho. Penda unachopenda, ila usichokijua usikiongelee
 
Mpe heshima sugu bila harakati zao
Wasani ambao wewe unawaona bora
Sahv usingewasikia
Unafikiri watu mpaka mziki kufika na kukubalika hapa ilikuwa kazi ndogo

Uwe na heshima kwa sugu na wasanii waliyotangulia kijana

Ova
 
Wewe jamaa naona matako yana kuwasha.ume mdiss vatoloco na bou nako wewe ushasikiliza high na low ya bou? Au gangste gangster ya vatoloco Acha kuandika usichokijua.weee unapimaje kujua msanii anakipaji??
 
Sio kwamba level ya sugu na lunya n moja hpna ila sugu mtu wa kujisifia sana kama lunya
 
Wewe jamaa naona matako yana kuwasha.ume mdiss vatoloco na bou nako wewe ushasikiliza high na low ya bou? Au gangste gangster ya vatoloco Acha kuandika usichokijua.weee unapimaje kujua msanii anakipaji??
Umeanza na matusi kuonyesha jinsi gan ulivyo mjinga
 
Mpe heshima sugu bila harakati zao
Wasani ambao wewe unawaona bora
Sahv usingewasikia
Unafikiri watu mpaka mziki kufika na kukubalika hapa ilikuwa kazi ndogo

Uwe na heshima kwa sugu na wasanii waliyotangulia kijana

Ova
Mkuu sijazungumzia heshima , nimezungumzia uwezo wao kisanaa
 
Tatizo ni pale unapong'ang'ania maoni yako yawe facts. Binafsi sijawahi kumpenda Sugu lakini kusema hana kipaji sio sahihi. Haiwezekani mtu akatoa wimbo ukahit nchi nzima na shoo akafanya halafu useme hana kipaji, kama sio kipaji ni nini?

Nyakati zao waliokua wanajaribu ni wengi lakini waliofanikiwa ni hao wachache mpaka tunawajadili hapa. Ni wangapi walitamani kufika level ya Mike Tee na hawakufika?
 
We fala kuwa na adabu, Nije ntafute attention huku ambako hatufahamiani?

Kwa hizi akili zako nenda tiktok ukacheze na dada zako , huku hapakufai
Nilijua tu lazima ushituke mana ushashikwa takoo hapo, we ni kapumbavu huna hoja umekazana tu hana uwezo.
 
Wewe ndo unitajie hao waliojaribu alafu wakafeli sasa unaniuliza tena mimi?
 
Nilijua tu lazima ushituke mana ushashikwa takoo hapo, we ni kapumbavu huna hoja umekazana tu hana uwezo.
Fala wewe , kumbe una tabia za kushikwa tako ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…