Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Mi nadhani hawa wana vipaji but wameishiwa mashairi tu au wameingia kwenye harakati lakin pia hawa wasanii wa sasa mbona hujawataja au wote fulu matalent
 
Basi ukiwa hivyo zamani kukikuwa hakuna wasanii sanaa ndio umeianzisha wewe.
Tena bila wasanii wa wazamani na harakati zao,sijui kama sshv hawa wasanii wanaotamba wangesikika

Ova
 
Mkuu sijazungumzia heshima , nimezungumzia uwezo wao kisanaa
Usiseme hawana kipaji...

Sema huwakubali,hiyo ni haki yako kuwakubali au kuwakata

Mfano mimi siwakubali kabisa wasanii wa sahvi wengi wao ,wasani wa kizaz cha sasa ambao nawaelewa ni navykenzo tu wengine tupa huko

Ova
 
Yaani ukisikiliza sintobadilika..utajua mtoa mada kazingua kwa mnyalu
Mike Tee ni Mkali sana... Kazingua Pakubwa sana.... Ngoma zake za Kitambo kila dude lilikua Ni Hit. Nampenda Nani ilikua Jimbo la Taifa ... Sintobadilika Ikaja kuwa National Anthem..... Ni beep baby ikapendwa mpaka na wanawake.....
 
Lavalava
Zay B
Sister P
Abdu Kiba
Dataz
List ni ndefu...

Inaendelea
 
Kuna Enok Bella yule mwenye sauti ya besi Yamoto Band
 
Mimi Mars
Inspektor haroun
Inspector Haroun muache bhana, mzee wa rap cartoon.

huyu jamaa ni kipaji sana na hajawahi kutoa wimbo ukabuma.
Binafsi huwa namuelewa sana tena sana.
 
unamjua Sugu vizuri wewe emu kula vyuma ivyo

Sugu moto chini
mikononi mwa polisi
mambo ya fedha ft jay dee
niko kwenye mbio
wananiita sugu ft stara
hold on ft andre

ndo msanii wa hip hop mwenye albamu nyingi..
 
Wewe ni msengerema usiyejua mziki
 
unamjua Sugu vizuri wewe emu kula vyuma ivyo

Sugu moto chini
mikononi mwa polisi
mambo ya fedha ft jay dee
niko kwenye mbio
wananiita sugu ft stara
hold on ft andre

ndo msanii wa hip hop mwenye albamu nyingi..
Sugu ntaendelea kumuheshimu kama mwanaharakati bora wa muda wote katika mapinduzi ya mziki wa kizazi kipya

Ila kuhusu talent hata yeye mwenyewe anajijua hana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…