Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu jamaa enu Sugu bado ana ushamba sana, jana kapost hii picha huko twitter ...et akidai walipambana na udictetor kwa kila namnaView attachment 2582947
Kuna uzi hapa jamaa kam-koti SUGU huku, sio flow, amekoti content ya wimbo wake..Kama unajua unajua tu ,Mungu hawez kukunyang'anya Talanta aliokupatia
Sugu aliimba " Dunia sio mbaya Ila walimwengu ndio wabaya" walimwengu pamoja na mapepo!
Mr nice ni pure talent ileJamani ongeeni wote ila KALI P nawaomba mumuache kama alivyo[emoji1][emoji1][emoji1] hadi leo msela nasikilizaga nyimbo zake nabak kucheka tuu[emoji1] af kuna DOJO na Domokaya washkaj hua nikiskiliza ngoma zao nafurahi tuu idea zilikua uniq na halisia apo sijamtaja JOHN WOLKER na SOLID GROUND FAMILY wazee wa bush party[emoji1] kikwel kuimba (kipaji) ni secta pana sana watu msikaze vichwa et mpka mtu hue unafwata codes na saut sijui unashuka na kupanda ndo useme uyu mtu anakipaj amna ubunifu kuleta kitu tofauti na watu wakakiskia wakakipokea na kuburudika nikipaji pia,
Kama utapinga bas nisaidie kufafanua yule diamond platinumz wa zamani(MR NICE) alikua na kipaji au alibahatisha.
Kal p wa imekaa vibaya , namuona zaidi kwenye comedyJamani ongeeni wote ila KALI P nawaomba mumuache kama alivyo[emoji1][emoji1][emoji1] hadi leo msela nasikilizaga nyimbo zake nabak kucheka tuu[emoji1] af kuna DOJO na Domokaya washkaj hua nikiskiliza ngoma zao nafurahi tuu idea zilikua uniq na halisia apo sijamtaja JOHN WOLKER na SOLID GROUND FAMILY wazee wa bush party[emoji1] kikwel kuimba (kipaji) ni secta pana sana watu msikaze vichwa et mpka mtu hue unafwata codes na saut sijui unashuka na kupanda ndo useme uyu mtu anakipaj amna ubunifu kuleta kitu tofauti na watu wakakiskia wakakipokea na kuburudika nikipaji pia,
Kama utapinga bas nisaidie kufafanua yule diamond platinumz wa zamani(MR NICE) alikua na kipaji au alibahatisha.
Mweupe kivipi wakat mtu kashafanya show hadi mtoni na ana album nyingi tu anakuwaje mweupe?We ndo mpumbavu unaendeshwa na mihemko tuliza kichwa msikilize sugu vizuri utagundua jamaa ni mweupe sana
Na mimi nimeheshimu maoni yako ila sijaona sababu ya msingi. Kama mpaka leo hujaona uwezo wa Sugu kamwe hautakaa kuuona mkuu.Hayo ni maoni yako mkuu, kwa mimi sijawahi ona uwezo wa Sugu na Pina wa kikosi cha mizinga
Nilivyoona "TOO PROU" nikajua tu mtoa mada hafatilii muzikiKalapina,
Huyu jamaa mbali na kuwa na harakati nyingi akiwa pamoja na kundi lake la Kikosi cha mizinga .ukweli ni kwamba hana kipaji cha music. Alipata umaarufu coz ametoka kipindi wasanii ni wachache
Sugu
Huyu jamaa ana majina kibao kama Mr two, jongwe, too proud na sasa anajiita Taita licha ya kuwa na heshima kama moja ya waasisi wa music wa hiphop tanzania , ukweli ni kwamba hana kipaji cha music
Jaffarai
Huyu ni moja ya member wa wateule alitamba na wimbo wa niko bize .lakini hakuweza kudumu kwenye game kwa muda mrefu kutokana ukweli hana kipaji
Mchizi mox
Huyu pia ni member mwingine wa wateule ngoma zake zilizowahi kupata airtime ni mambo vp na chupa nyingine . lakini uwezo wake ni wa kawaida sana
Mike tee mnyalu
Huyu jamaa alipata airtime miaka ya zamani kwa ngoma zake lakini ukimskiliza ni wazi hana uwezo kabisa. Ni moja kati ya wasanii ambao huwa wanaandikiwa
Soggydog hunter
Huyu jamaa bora angebaki kwenye u presenter tuu huku kwenye music aliforce tuu hana uwezo kabisa ana ngoma nyingi ila iliyopenya ni kibanda cha simu pekee yake
Bou nako
Huyu alikua member wa N2N lakini tangu hakua na uwezo kabisa .nafkir wana walimbeba tuu kutokana na love .ila kwenye music jamaa hana kipaji
Fido vato
Huyu member wa vatokoko soldiers ni empy kabisa , analazimisha fan tuu ila ukweli anaujua kuwa hana uwezo wowote ule zaidi ya kujikuta gangstar
Kr mulah
Huyu ndio founder wa style ya kucheza Mapanga . ameanza sanaa muda mrefu sana lakini ukimskiliza utagundua jamaa hana uwezo wowote kwenye music kwa kifupi hana kipaji
Mh temba
Huyu ni member wa TMK wanaume family mwanzoni alibahatisha ngoma kama tatu zikaenda mjini, baadaye akaja kuungana na chege wakatoa hadi album..ila ukimfuatilia vizur jamaa hana
uwezo kabisa
Rich one
Huyu pia ni member wa TMK alitamba na ngoma moja aliyomshirikisha Juma nature inaitwa hatuna kitu.baada ya hapo hajawai kutoa hitsong tena, Jamaa anasifika kwa utapeli wa kuandaa show na wasanii fake huko mkoani afu anapiga hela
Dudu baya
Huyu jamaa aliotea ngoma kama tatu tuu ambazo zilimtambulisha vyema kwenye game .lakini alipata jina kwakua kipindi anatoka hapakua na upinzani mkali kama ilivyo sasa
Dark master
Huyu ndo muhasisi wa Chamber squard Nampa heshima kubwa sana kwa kuweza kuiweka dodoma kwenye ramani ya muziki , Lakini tukiongelea uwezo binafsi .jamaa anauwezo wa kawaida sana
John mjema,
The late John mjema alitamba na wimbo wa wachumba 30. Na ngoma zingine alizofanya kwenye kundi lao aliokua na kina the late steve 2kna buibui .lakini tukimzungumzia binafsi kimuziki jamaa hana kipaji cha muziki
Maujanja suppliers
Hawa jamaa nawakubali kwa harakati zao za street lakini kwenye music watupishe hawana vipaji .lakini wao wamekua wanalalamika wanabaniwa kitu ambacho sio ukweli
Kama unafuatilia music wa bongo fleva utakua unakubaliana na mimi hawa jamaa hawana talent za music kabisa
Kila nikitafuta sababu ya msingi ya jamaa kutokumuelewa Sugu siioni. Ila nachokihisi ni kuwa jamaa hajapenda kazi za Sugu. Sasa hapa ndipo linapokuja swala la kuendeshwa na hisia kwenye uhalisia. Tuvumiliane tu.Mweupe kivipi wakat mtu kashafanya show hadi mtoni na ana album nyingi tu anakuwaje mweupe?
Ndio maana nimekuita mpumbavu bwana mdogo. Wewe kama humuelewi haina maana kwamba hajui.
Unazidi kuonyesha upumbavu wako,Mweupe kivipi wakat mtu kashafanya show hadi mtoni na ana album nyingi tu anakuwaje mweupe?
Ndio maana nimekuita mpumbavu bwana mdogo. Wewe kama humuelewi haina maana kwamba hajui.
Kila mtu abaki na anachokiamini mkuu.Pina yumo kwenye list kihalali kabisa labda kama ni mshkaji wako.
Nisiseme zaidi.Ni kweli kaka kamwe sitakaa nione huo uwezo wa sugu coz haupo
Hakuna msanii bongo aliyewahi kujiita "too proud"Kwa sababu zipi
Hayo ni maoni yako, lakini kwa mimi sijaendeshwa na hisia coz hapo nimekutajia wasanii wengi, licha ya kutaja wengi, Huyo sugu kama.umefuatilia comments za watu huku ...wapo wengi pia ambao wanakubaliana na mimi , Sasa unataka kusema hao wanaokubaliana na mimi SUGU hana kipaji nao wanaendeshwa na Hisia?Kila nikitafuta sababu ya msingi ya jamaa kutokumuelewa Sugu siioni. Ila nachokihisi ni kuwa jamaa hajapenda kazi za Sugu. Sasa hapa ndipo linapokuja swala la kuendeshwa na hisia kwenye uhalisia. Tuvumiliane tu.
Jina la kwanza kabisa alijiita two proudJina la Kisanii alikua anaitwa Mr. II au Mr. 2 before hajaitwa Sugu alikua anaitwa Mr. II aka Sugu alipotoa 'wananiita Sugu' na Stala Thomas akafuta Mr. II akajiita Sugu km Sugu, sasa tafuta hio ngoma inaitwa "Wananiita Sugu" uisikilize ukimaliza rudi hapa Ila kabla haujarudi fanya paaaaap bonyeza dude moja linaitwa Mambo ya Fedha Sugu ft. Lady Jay Dee ukimaliza kusikiliza njoo hapa
Punguza porojo Mkuu.Jamaa kwa harakati za music tunampa heshima yake .lakini tukibaki kwenye ukweli ni kuwa hana kipaji cha music..
Ndo maana hajapewa heshima ya Godfather wa bongo fleva ila proffessor jay kapewa