Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Afu jamaa enu Sugu bado ana ushamba sana, jana kapost hii picha huko twitter ...et akidai walipambana na udictetor kwa kila namna
20230410_105326.jpg
 
Afu jamaa enu Sugu bado ana ushamba sana, jana kapost hii picha huko twitter ...et akidai walipambana na udictetor kwa kila namnaView attachment 2582947
Kama unajua unajua tu ,Mungu hawez kukunyang'anya Talanta aliokupatia

Sugu aliimba " Dunia sio mbaya Ila walimwengu ndio wabaya" walimwengu pamoja na mapepo!
Kuna uzi hapa jamaa kam-koti SUGU huku, sio flow, amekoti content ya wimbo wake..
 
Jamani ongeeni wote ila KALI P nawaomba mumuache kama alivyo[emoji1][emoji1][emoji1] hadi leo msela nasikilizaga nyimbo zake nabak kucheka tuu[emoji1] af kuna DOJO na Domokaya washkaj hua nikiskiliza ngoma zao nafurahi tuu idea zilikua uniq na halisia apo sijamtaja JOHN WOLKER na SOLID GROUND FAMILY wazee wa bush party[emoji1] kikwel kuimba (kipaji) ni secta pana sana watu msikaze vichwa et mpka mtu hue unafwata codes na saut sijui unashuka na kupanda ndo useme uyu mtu anakipaj amna ubunifu kuleta kitu tofauti na watu wakakiskia wakakipokea na kuburudika nikipaji pia,

Kama utapinga bas nisaidie kufafanua yule diamond platinumz wa zamani(MR NICE) alikua na kipaji au alibahatisha.
 
Mr nice ni pure talent ile
 
Kal p wa imekaa vibaya , namuona zaidi kwenye comedy
 
We ndo mpumbavu unaendeshwa na mihemko tuliza kichwa msikilize sugu vizuri utagundua jamaa ni mweupe sana
Mweupe kivipi wakat mtu kashafanya show hadi mtoni na ana album nyingi tu anakuwaje mweupe?

Ndio maana nimekuita mpumbavu bwana mdogo. Wewe kama humuelewi haina maana kwamba hajui.
 
Kalapina,

Huyu jamaa mbali na kuwa na harakati nyingi akiwa pamoja na kundi lake la Kikosi cha mizinga .ukweli ni kwamba hana kipaji cha music. Alipata umaarufu coz ametoka kipindi wasanii ni wachache

Sugu

Huyu jamaa ana majina kibao kama Mr two, jongwe, too proud na sasa anajiita Taita licha ya kuwa na heshima kama moja ya waasisi wa music wa hiphop tanzania , ukweli ni kwamba hana kipaji cha music

Jaffarai

Huyu ni moja ya member wa wateule alitamba na wimbo wa niko bize .lakini hakuweza kudumu kwenye game kwa muda mrefu kutokana ukweli hana kipaji

Mchizi mox

Huyu pia ni member mwingine wa wateule ngoma zake zilizowahi kupata airtime ni mambo vp na chupa nyingine . lakini uwezo wake ni wa kawaida sana

Mike tee mnyalu

Huyu jamaa alipata airtime miaka ya zamani kwa ngoma zake lakini ukimskiliza ni wazi hana uwezo kabisa. Ni moja kati ya wasanii ambao huwa wanaandikiwa

Soggydog hunter

Huyu jamaa bora angebaki kwenye u presenter tuu huku kwenye music aliforce tuu hana uwezo kabisa ana ngoma nyingi ila iliyopenya ni kibanda cha simu pekee yake

Bou nako

Huyu alikua member wa N2N lakini tangu hakua na uwezo kabisa .nafkir wana walimbeba tuu kutokana na love .ila kwenye music jamaa hana kipaji

Fido vato

Huyu member wa vatokoko soldiers ni empy kabisa , analazimisha fan tuu ila ukweli anaujua kuwa hana uwezo wowote ule zaidi ya kujikuta gangstar

Kr mulah

Huyu ndio founder wa style ya kucheza Mapanga . ameanza sanaa muda mrefu sana lakini ukimskiliza utagundua jamaa hana uwezo wowote kwenye music kwa kifupi hana kipaji

Mh temba

Huyu ni member wa TMK wanaume family mwanzoni alibahatisha ngoma kama tatu zikaenda mjini, baadaye akaja kuungana na chege wakatoa hadi album..ila ukimfuatilia vizur jamaa hana
uwezo kabisa

Rich one

Huyu pia ni member wa TMK alitamba na ngoma moja aliyomshirikisha Juma nature inaitwa hatuna kitu.baada ya hapo hajawai kutoa hitsong tena, Jamaa anasifika kwa utapeli wa kuandaa show na wasanii fake huko mkoani afu anapiga hela

Dudu baya

Huyu jamaa aliotea ngoma kama tatu tuu ambazo zilimtambulisha vyema kwenye game .lakini alipata jina kwakua kipindi anatoka hapakua na upinzani mkali kama ilivyo sasa

Dark master

Huyu ndo muhasisi wa Chamber squard Nampa heshima kubwa sana kwa kuweza kuiweka dodoma kwenye ramani ya muziki , Lakini tukiongelea uwezo binafsi .jamaa anauwezo wa kawaida sana

John mjema,

The late John mjema alitamba na wimbo wa wachumba 30. Na ngoma zingine alizofanya kwenye kundi lao aliokua na kina the late steve 2kna buibui .lakini tukimzungumzia binafsi kimuziki jamaa hana kipaji cha muziki

Maujanja suppliers

Hawa jamaa nawakubali kwa harakati zao za street lakini kwenye music watupishe hawana vipaji .lakini wao wamekua wanalalamika wanabaniwa kitu ambacho sio ukweli

Kama unafuatilia music wa bongo fleva utakua unakubaliana na mimi hawa jamaa hawana talent za music kabisa
Nilivyoona "TOO PROU" nikajua tu mtoa mada hafatilii muziki
 
Mweupe kivipi wakat mtu kashafanya show hadi mtoni na ana album nyingi tu anakuwaje mweupe?

Ndio maana nimekuita mpumbavu bwana mdogo. Wewe kama humuelewi haina maana kwamba hajui.
Kila nikitafuta sababu ya msingi ya jamaa kutokumuelewa Sugu siioni. Ila nachokihisi ni kuwa jamaa hajapenda kazi za Sugu. Sasa hapa ndipo linapokuja swala la kuendeshwa na hisia kwenye uhalisia. Tuvumiliane tu.
 
Mweupe kivipi wakat mtu kashafanya show hadi mtoni na ana album nyingi tu anakuwaje mweupe?

Ndio maana nimekuita mpumbavu bwana mdogo. Wewe kama humuelewi haina maana kwamba hajui.
Unazidi kuonyesha upumbavu wako,
Nshakuambia kutoa album nyingi sio kigezo cha kumfanya aonekane ni mkali, hiyo show aliofanya huko mtoni share link hapa tuone hao mashabiki walioenda
 
Na mimi nimeheshimu maoni yako ila sijaona sababu ya msingi. Kama mpaka leo hujaona uwezo wa Sugu kamwe hautakaa kuuona mkuu.
Ni kweli kaka kamwe sitakaa nione huo uwezo wa sugu coz haupo
 
Kila nikitafuta sababu ya msingi ya jamaa kutokumuelewa Sugu siioni. Ila nachokihisi ni kuwa jamaa hajapenda kazi za Sugu. Sasa hapa ndipo linapokuja swala la kuendeshwa na hisia kwenye uhalisia. Tuvumiliane tu.
Hayo ni maoni yako, lakini kwa mimi sijaendeshwa na hisia coz hapo nimekutajia wasanii wengi, licha ya kutaja wengi, Huyo sugu kama.umefuatilia comments za watu huku ...wapo wengi pia ambao wanakubaliana na mimi , Sasa unataka kusema hao wanaokubaliana na mimi SUGU hana kipaji nao wanaendeshwa na Hisia?
 
Jina la Kisanii alikua anaitwa Mr. II au Mr. 2 before hajaitwa Sugu alikua anaitwa Mr. II aka Sugu alipotoa 'wananiita Sugu' na Stala Thomas akafuta Mr. II akajiita Sugu km Sugu, sasa tafuta hio ngoma inaitwa "Wananiita Sugu" uisikilize ukimaliza rudi hapa Ila kabla haujarudi fanya paaaaap bonyeza dude moja linaitwa Mambo ya Fedha Sugu ft. Lady Jay Dee ukimaliza kusikiliza njoo hapa
Jina la kwanza kabisa alijiita two proud
 
Back
Top Bottom