JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Mkumbushe Manguli akina Whitney Houston, Mariah Carey na wengine kibao wanaandikiwa hit songs kibao.Aisee, sikujua kama kuandikiwa mashairi ni ukosefu wa kipaji!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkumbushe Manguli akina Whitney Houston, Mariah Carey na wengine kibao wanaandikiwa hit songs kibao.Aisee, sikujua kama kuandikiwa mashairi ni ukosefu wa kipaji!
Lakini tizama wanaokuunga mkono na wanaokupinga kwenye suala la Sugu ni wapi wengi. Hii hoja ya Sugu nilishaiona mara kadhaa. Ila nilichokuja kugundua ni kuwa watu wanaompinga hawapendi flow yake. Sasa rap ni flow pekee.? Ni kweli Sugu kakosa zaidi ya nusu ya vinavyohitajika katika ubora mpaka useme ni mweupe.?Hayo ni maoni yako, lakini kwa mimi sijaendeshwa na hisia coz hapo nimekutajia wasanii wengi, licha ya kutaja wengi, Huyo sugu kama.umefuatilia comments za watu huku ...wapo wengi pia ambao wanakubaliana na mimi , Sasa unataka kusema hao wanaokubaliana na mimi SUGU hana kipaji nao wanaendeshwa na Hisia?
Unakaaje kwenye game muda mrefu na uwezo huna!? Tena unakuwa na album karibia 10!?Kukaa muda mrefu kwenyw game sio hoja kabisa
Hoja ni je ana uwezo?
Ni Sugu jina lake la mwanzo kabisa la kisanii.Hakuna msanii bongo aliyewahi kujiita "too proud"
Kwani kipaji ni niniWe kwel hamnazo.
Dr shika
Harmo rapa
Piere liquiid
Madonga
Hawa wote nna wajua na nna amini na ww unawajua haya ntajie vipaji walivyo navyo
Kasema "nadhani". Hiyo conclusion unaitoa wapi!? Wale wanaoandikiwa nyimbo huko mbele, hivi hawana vipaji eeh!?Duh kumbe hakuandika mwenyewe ..basi jamaa ni kilaza mno
Heee kumbe sugu alishawahi lalamika anabaniwa??Kipindi sugu anasikika redioni alikua ndo msanii pekee hvyo ilikua ni laIma askike coz hapakua na mpinzani , ndo maana aliishia kutamba 2000 baada ya vipaji halisi kuibuka , kina prof jay, ngwair, jay moe, FA na wengine kibao
Ukitaka kujua sugu hakua na takent ,tangu walianza kina prof jay sugu hakusikika tena , mpaka akaanza kulalamika kuwa anabaniwa ikafika kipindi wakaunda kundi la Ant virus na labda nkukumbushe tuu wasanii wote aliounda nao Ant virus hawana vipaji vya muziki
Kuna mawazo ni ya kijinga tu. Kama yale ya kusema mkojo ni dawa ya Ukimwi.Hahahah ndo maana nikasema kwenye hii list kuna watu siwakubali kwa personal interest tu lakini siwezi sema hawana kipaji.
Na hizi list zinaweza kuwa nyingi kama idadi ya watu duniani, maana kila mmoja atakuja na list yake na zisifanane kabisa.
Hapo ndo tunapoamua kuheshimu mawazo ya mtu.
Mama Ntilie Shishi kwani nayeye ni mwanamziki au mchezaji ngoma za asiliTemba nakataa; Ila Shilole pia awemo
Huyu ata 50 cent au Nas atasema hawana vipaji kwa ajili hawana hits sasa hivi. Mziki unachange na kila mtu na wakati wake anashindwa kuelewaHapa ndio umevuruga sasa..kwani msanii akishindwa kutoa hit kwa kipindi ambacho yupo nje ya muziki kwa muda mrefu sababu kubwa inakua ni kwamba hana kipaji?
Mb dog kapiga magoma mangapi hatari enzi zake na alipojaribu kurudi akashindwa tafsiri ni Hana kipaji?
Muziki unabadirika na njia pia za ku push kazi zinakua tofauti iyo ndio inayowafanya wasanii wengi wa zamani washindwe kurudi kama walivyokua zamani.
Hujulikana hasa unataka nini! Mara useme hawana vipaji mara uchague miaka unayotaka wewe! Unaji_contradict tu.Hizo ngoma zote ni before 2010
Niambiea kuanzia 2011 kutoa hit song gan kama solo project
Sio kweli. Hawa wametoka kipindi ambacho BongoFleva imeshakubalika baada ya nguvu kubwa ya wasanii wa mwanzo unaodai hawana vipaji. Kipindi ambacho Radio Ststions za FM zimetapakaa kama Uyoga nchi nzima.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hata hawa nliowataja wote walitoka kipindi ambacho kwanza wasanii walikua wachache ilikua ukitoa ngoma lazima iende redioni
Umemaliza kila kitu,kwa kifupi uzuri wa nyimbo inategea umeupokea kwa angle ipi.Najua unazungumzia Lyrically chamsingi unapaswa kuelewa kua swala la mziki ni pana sana sio finyu kama unavyotaka kuliweka wewe mfano zamani uko mbele kulikua kuna watu wanaitwa FIELD MOB waloimba sick of being lonely au BAHA MEN waloimba who let dog out hawa watu ukiwa sio mtu wa mziki utasema hawana vipaji ukizingatia mpangilio wa vina vyao, ila kwa wakat huo huo walikuepo kina NELLY na JAYZ hawa ukiwasikiliza unaweza sema wavipaji maana wanapanga mashairi commonly kama ilivozoeleka kwenye codes za kuimba ila trust me hawawote walikua na fanbase zao ndo maana kuna wakat watu hawakumwelewa jay ila walimwelewa Nelly na wengine hawakumwelewa Tupac wakamwelewa Big ila iyo haifamfanyi kusema tupac hana kipaji kisa the way anavoflow kwako haikuingii
we unaweza sema humuelewi ni sawa ila usiseme hana kipani as long as mtu anafan base yake akisimama akaimba nyimbo yake watu wanafurahi na kuburudika bas uyo anakipaji tosha kwa upande wake kama unabisha kamwambie msanii wako wa hiphop apa Tanzania akaimbe izo flow zake INDIA au kawambie MCHAGGA asikilize nyimbo za SAIDA KARORI huone, anaweza sema hana kipaji sababu haelewi chamsingi respect ubunifu wa mtu kwenye eneo lake maana secta ya mziki ni pana mno sio ivo unavyoiwaza wewe.
Note; nakubaliana na wewe kua jamaa sio rapa mkali kiupande wangu ila hatuna mamlaka yakusema hana kipaji yule anawatu wake wanao elewa mziki wake.
Umemaliza kila kitu,kwa kifupi uzuri wa nyimbo inategea umeupokea kwa angle ipiNajua unazungumzia Lyrically chamsingi unapaswa kuelewa kua swala la mziki ni pana sana sio finyu kama unavyotaka kuliweka wewe mfano zamani uko mbele kulikua kuna watu wanaitwa FIELD MOB waloimba sick of being lonely au BAHA MEN waloimba who let dog out hawa watu ukiwa sio mtu wa mziki utasema hawana vipaji ukizingatia mpangilio wa vina vyao, ila kwa wakat huo huo walikuepo kina NELLY na JAYZ hawa ukiwasikiliza unaweza sema wavipaji maana wanapanga mashairi commonly kama ilivozoeleka kwenye codes za kuimba ila trust me hawawote walikua na fanbase zao ndo maana kuna wakat watu hawakumwelewa jay ila walimwelewa Nelly na wengine hawakumwelewa Tupac wakamwelewa Big ila iyo haifamfanyi kusema tupac hana kipaji kisa the way anavoflow kwako haikuingii
we unaweza sema humuelewi ni sawa ila usiseme hana kipani as long as mtu anafan base yake akisimama akaimba nyimbo yake watu wanafurahi na kuburudika bas uyo anakipaji tosha kwa upande wake kama unabisha kamwambie msanii wako wa hiphop apa Tanzania akaimbe izo flow zake INDIA au kawambie MCHAGGA asikilize nyimbo za SAIDA KARORI huone, anaweza sema hana kipaji sababu haelewi chamsingi respect ubunifu wa mtu kwenye eneo lake maana secta ya mziki ni pana mno sio ivo unavyoiwaza wewe.
Note; nakubaliana na wewe kua jamaa sio rapa mkali kiupande wangu ila hatuna mamlaka yakusema hana kipaji yule anawatu wake wanao elewa mziki wake.
Sikuwa nimeona hapa mkuu.. Hapa umemaliza kila kitu. Nafikiri bado unapaswa kuusikiliza ukwaju wa kitambo kwa kina zaidi ndio uje kuandika uliyoandika mkuu.Nimezaliwa 1994/, nimeanza kuskiliza bongo fleva 1999 so nna experience kubwa sana
12_600_lettres imo, aisee una taste nzuri sana ya muziki. Kuna watu ukiwa unasikiliza miziki wao wasioielewa wanakushangaa. Wanaona huyu vipi huyu. Wanasahau muziki ni universal language. Unaweza sikiliza mpaka bhangra ya mhindi kama umeielewa.boss wangu huna unalolijua kaa sikiliza mziki natamaan ukae umsikilize sugu kwa makin nimescreenshot my playlistView attachment 2582478
Hpna sio hukumu hayo n maoni sabb huo mzk wake wa zaman pia nmeuskilizaSasa Sugu wewe umeanza kumsikiliza juzi tu enzi za wananiita Sugu. Leo unatoa hukumu.
Umemuelewesha vizuri sana mkuu. Kama mtu hukielewi kitu huna haki ya kusema si bora kabisa ilhali kile kitu kinatumika na watu wenye akili timamu na kimejitengeneza ma kuwepo kwa miaka mingi.Najua unazungumzia Lyrically chamsingi unapaswa kuelewa kua swala la mziki ni pana sana sio finyu kama unavyotaka kuliweka wewe mfano zamani uko mbele kulikua kuna watu wanaitwa FIELD MOB waloimba sick of being lonely au BAHA MEN waloimba who let dog out hawa watu ukiwa sio mtu wa mziki utasema hawana vipaji ukizingatia mpangilio wa vina vyao, ila kwa wakat huo huo walikuepo kina NELLY na JAYZ hawa ukiwasikiliza unaweza sema wavipaji maana wanapanga mashairi commonly kama ilivozoeleka kwenye codes za kuimba ila trust me hawawote walikua na fanbase zao ndo maana kuna wakat watu hawakumwelewa jay ila walimwelewa Nelly na wengine hawakumwelewa Tupac wakamwelewa Big ila iyo haifamfanyi kusema tupac hana kipaji kisa the way anavoflow kwako haikuingii
we unaweza sema humuelewi ni sawa ila usiseme hana kipani as long as mtu anafan base yake akisimama akaimba nyimbo yake watu wanafurahi na kuburudika bas uyo anakipaji tosha kwa upande wake kama unabisha kamwambie msanii wako wa hiphop apa Tanzania akaimbe izo flow zake INDIA au kawambie MCHAGGA asikilize nyimbo za SAIDA KARORI huone, anaweza sema hana kipaji sababu haelewi chamsingi respect ubunifu wa mtu kwenye eneo lake maana secta ya mziki ni pana mno sio ivo unavyoiwaza wewe.
Note; nakubaliana na wewe kua jamaa sio rapa mkali kiupande wangu ila hatuna mamlaka yakusema hana kipaji yule anawatu wake wanao elewa mziki wake.
Ebwanaee umenikumbusha huu mkono. Ngoja niutafute asiee!Sugu Moto Chini!