Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Hizi ni itikadi za kisiasa kabisa et talent!!!
Ajabu ni kuwa kwenye siasa nako wanasema kuwa SUGU ni mwanamuziki, arudi huko kwenye muziki ndiko kunakomfaa.
 
Jina la Kisanii alikua anaitwa Mr. II au Mr. 2 before hajaitwa Sugu alikua anaitwa Mr. II aka Sugu alipotoa 'wananiita Sugu' na Stala Thomas akafuta Mr. II akajiita Sugu km Sugu, sasa tafuta hio ngoma inaitwa "Wananiita Sugu" uisikilize ukimaliza rudi hapa Ila kabla haujarudi fanya paaaaap bonyeza dude moja linaitwa Mambo ya Fedha Sugu ft. Lady Jay Dee ukimaliza kusikiliza njoo hapa
Wameanza kuskiza mziki juzi hawa, sasa mtu anaanzaje kusema SUGU na SOGGY ni wabovu kweli!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yan verse mbovu kichizi afu kuna majinga hapa yanasema jamaa ana talent
Mjinga hapa ni wewe ambaye unaona watu waliokataa maoni yako ni Wajinga. Mwishoni hata ukila mavi wewe, utaona wasiokula mavi kama wewe ni wajinga. Punguza upumbavu.
 
Temba mwanzon huko alifanya vizur ..ila ukitaka ujue jamaa hana uwezo ..mwambie atie solo projects uone kama ataweza tena kutoa hit song
Temba alibebwa sana na chege

Au nkuulize....Ntajie hitsong ya mwisho temba kutoa kama hit song ilikua mwaka gani
Bila shaka ilikua 2009 nyimbo inaitwa Maneno nawafunza ...toka hapo ngoma zilizotamba hajafanya peke yake
Na anapenda misosi
“…tomato kachumbari weka pilipili kwa mbali… 🎶
Viepe jazajaza mishikaki isiungue sana…🎶…”

😂😂
 
Kwa kifupi wasanii wote wa tamaduni ni talented
Najua umeuliza hilo kwa kigezo cha kutoa hit song.

Iko hivi kuna wasanii wa main stream na kuna underground artist

Tamaduni wote hawafanyi muziki wa mainstream lakini mitaa inawaelewa

Usirudie tena kuuliza maswali ya kitoto
Mainstream ndio takataka gani!? Kuna msanii asiyetaka kutoka na kubakia tu underground!? Punguza ujuaji uchwara wa kichwa maji.
 
We hujui kitu ni Too proud yan wakimaanisha jamaa ana majigambo mno
rBEeMV3czOCAVSG3AADsp5yfeAY843.jpg

Angalia hiyo ni two au too
 
Samahani! Kipaji ni nini!? Na wewe kutomuelewa msanii, ndio ina maana hana kipaji!? Binafsi huwa simuelewi Barnaba, lakini hiyo haiwezi kunifanya niseme hana kipaji cha muziki.
Hajui kuimba. Ni muonekano unambeba
 
Unahamisha magoli tu hapa. Kuna post ya jamaa sajo kama sijakosea. Kakuuliza hawana vipaji kwa kigezo gani!? Mashairi, flow n.k, haukujibu. Sasa umekamatiwa kweye kona unajifanya oh flow 0%, sijui nini na nini.

Kwa kifupi wewe mweupe tu, na unawapotezea watu muda. Maana hata "kipaji" unachodai hawana uliulizwa "kipaji" ni nini!? hukujibu.

Kwa kifupi wasanii wote wa tamaduni ni talented
Najua umeuliza hilo kwa kigezo cha kutoa hit song.

Iko hivi kuna wasanii wa main stream na kuna underground artist

Tamaduni wote hawafanyi muziki wa mainstream lakini mitaa inawaelewa

Usirudie tena kuuliza maswali ya kitoto
Sasa kama unajua Hilo kwa nin mwanzo ulisema kipaji ni mpaka msanii atoe hit song?
 
Back
Top Bottom