Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliona lakini makoti ya feisal na Dickson ,kama makoti ya wainjilisti wa vijijiniAchana Na Hilo Genge La Wahuni Wachache
Hapa hisani imetumika mana la sivyo kungewaka hapo ukumbiniMchezaji bora kombe la shirikisho- Feisal Salum Feitoto- Dar young Africans
Leo kuna mtu pale mbele alitaja jina la mshindi kabla bahasha haijafunguliwa, sijui nanyi mliliona hilo
Wanaitwa Toa Ndugu, ToaUliona lakini makoti ya feisal na Dickson ,kama makoti ya wainjilisti wa vijijini
Habari za muda Wana jamvi...Hawajataka lawama kwa Bongozozo
Mimi ni mwananchi Ila hii kitu ni mazoea how miquison akoseEti Konde boy hajapata tunzo yoyote, hii ni Bongo Nyoso kweli
Mdogo wangu Feisal sijamuelewa kabisaHawa wachezaji wa Yanga haya makoti yao ya suti hayafai hata kwa harusi za buza
WamemdhulumuMimi ni mwananchi Ila hii kitu ni mazoea how miquison akose
Wameamua kubalance mzigo, Kama Simba ni the best basi muwape zote nobody will ask u ..koz tuliwaona katika ubora wao, Kama manara angebakia Simba angeibeba believe meWamemdhulumu
Achana na hiyo... Kuna nyingine alikuja mzungu fulani kutaja mshindi... Kisha akataja jina la mshindi kabla hajafungua bahasha... Akastuka ikabidi afungue... Lakini alikwishamtajaYes ilikua ni ya mchezaji bora wa ligi alitaja Chama lakini Tuzo ilienda kwa Bocco