I declare my interest, my side is Young African sc. Kwenye tuzo hizi John Bocco hakustahili hiyo tuzo ya MVP. Kwa sababu hata kwenye takwimu za mchezaji Bora wa mwezi appearance yake Ni mashaka pia. Na hii ilitokana muda mwingi kuwa majeruhi. Kwangu MVP angekuwa Chama au Kondeboy nisingekuwa na Shaka lolote.Mimi ni mwananchi Ila hii kitu ni mazoea how miquison akose
Ni ujinga sana wanaufanya hao tff ... Kama wamemchukua bongozozo kwa sabab ni timu ya taifa kwann wasimpe samata , msuva , nondo , job , au hata nova maana timu ya taifa wanamchango mkubwa , bongozozo zaga imemuangukia kwasabab tuzo haitakiw kwenda jangwan na wasingeweza kumpa bwire , how nugaz anakosekanaI declare my interest, my side is Young African sc. Kwenye tuzo hizi John Bocco hakustahili hiyo tuzo ya MVP. Kwa sababu hata kwenye takwimu za mchezaji Bora wa mwezi appearance yake Ni mashaka pia. Na hii ilitokana muda mwingi kuwa majeruhi. Kwangu MVP angekuwa Chama au Kondeboy nisingekuwa na Shaka lolote.
Mimi ni mwananchi kwenye koti Sina noma labda alichukua la mukoko tonombe chap chap....shida ile miwaniIla nina mashaka na aina ya Bangi wanayovuta baadhi ya wachezaji wa Yanga haswa Feisal sasa lile ndio koti ganii la kuvaa kwenye hafla kubwa kama ile kwelii na mawani tinted usiku kama ule ya nn sasa
Kuna barua niiona kwenye ukurasa wa twitter wa Zito Kabwe ambayo ni ya TFF ikionyesha kwamba yanga imepata adhabu ya kama dola 5000 kutokana na kukiuka takwa la kutokuingiza mashabiki uwanjani katika mchezo wao na river United... Na ni kutokana na adhabu hiyo na matukio mengine mbalimbali ambayo yamekuwa yakitokea na kulalamikiwa na timu zinazokuja kucheza mechi za kimataifa hapa Tanzania... Tanzania kwa ujumla imepewa onyo... Sasa pengine ni hasira za tff kwa watu fulaniHabari za muda Wana jamvi...
Binafsi sihitaji kudecrare interest lakini something is still spinning in my atriums,
Binafsi Nina uhakika manara Kama angebakia Simba angeibeba tuzo hii ya muhamasishaji Bora , shida ni yeye kwenda upande wa gundu , pengine hata zile takwimu zilikuwa ni kuhakikisha kuwa yeye ni nothing kwa Simba ili asije akajikweza, napata wakati Mgumu Kwan Simba alicheza game nyingi kimataifa ambazo yanga hawakucheza na gemu kibao waliingiza mashabiki 15000++ , na ni zilikuwa Kama 8 ++, haimake sense , au mashabiki wa game za kimataifa hawakuingia kwenye takwimu???, Hata Kama yanga wanawazidi Simba mashabiki kias gani Ina maana yanga walifidia game za ligi tu wale jamaa wa kimataifa, ukumbuke Simba waliuza tiketi kwa wanachama tu so hakukuwa na mamluki,Kuna game waliingizamashabiki 30000 wenye kadi tu,....inawezekana tff target yenu ni kuikomoa yanga by any means had watu waliofanya makubwa kwenu kuwanyima nafasi wakiwa upande msio uhusudu, Nina uhakika zile takwimu zilikuwa ni za kuuhadaa ulimwengu kuwa yanga waliingiza mashabiki wengi kuliko utelembwe wakati utelembwe walikuwa na cafcl games, warace karia acha roho mbaya hii itakutia doa sana , turud kwenye takwimu , Kama zilikuwa ni sahihi kwanini msimpe nugaz tuzo, so ishu yenu ni kuhakikisha nobody utopolo side is honored despite how best he is why bongo zozo?.
Kahamasisha Nini ?
Manara hawez chukua sabab tu ni utoporo?
Au nugaz hawez chukua sababu ni utoporo pia ?
Umeshaambiwa Fundi Maiko.....Mdogo wangu Feisal sijamuelewa kabisa
Angepewa Manara mngesema,Nugaz kakosa mnasema,kapata Bongo Zozo makelele!!..Habari za muda Wana jamvi...
Binafsi sihitaji kudecrare interest lakini something is still spinning in my atriums,
Binafsi Nina uhakika manara Kama angebakia Simba angeibeba tuzo hii ya muhamasishaji Bora , shida ni yeye kwenda upande wa gundu , pengine hata zile takwimu zilikuwa ni kuhakikisha kuwa yeye ni nothing kwa Simba ili asije akajikweza, napata wakati Mgumu Kwan Simba alicheza game nyingi kimataifa ambazo yanga hawakucheza na gemu kibao waliingiza mashabiki 15000++ , na ni zilikuwa Kama 8 ++, haimake sense , au mashabiki wa game za kimataifa hawakuingia kwenye takwimu???, Hata Kama yanga wanawazidi Simba mashabiki kias gani Ina maana yanga walifidia game za ligi tu wale jamaa wa kimataifa, ukumbuke Simba waliuza tiketi kwa wanachama tu so hakukuwa na mamluki,Kuna game waliingizamashabiki 30000 wenye kadi tu,....inawezekana tff target yenu ni kuikomoa yanga by any means had watu waliofanya makubwa kwenu kuwanyima nafasi wakiwa upande msio uhusudu, Nina uhakika zile takwimu zilikuwa ni za kuuhadaa ulimwengu kuwa yanga waliingiza mashabiki wengi kuliko utelembwe wakati utelembwe walikuwa na cafcl games, warace karia acha roho mbaya hii itakutia doa sana , turud kwenye takwimu , Kama zilikuwa ni sahihi kwanini msimpe nugaz tuzo, so ishu yenu ni kuhakikisha nobody utopolo side is honored despite how best he is why bongo zozo?.
Kahamasisha Nini ?
Manara hawez chukua sabab tu ni utoporo?
Au nugaz hawez chukua sababu ni utoporo pia ?
Sasa yanga kaadhibiwa kwa kosa gan Akat hajacheza kimataifa msimu iliyopita na katwishwa makosa ya Simba,...pale kwa bongozozo ni msala sanaKuna barua niiona kwenye ukurasa wa twitter wa Zito Kabwe ambayo ni ya TFF ikionyesha kwamba yanga imepata adhabu ya kama dola 5000 kutokana na kukiuka takwa la kutokuingiza mashabiki uwanjani katika mchezo wao na river United... Na ni kutokana na adhabu hiyo na matukio mengine mbalimbali ambayo yamekuwa yakitokea na kulalamikiwa na timu zinazokuja kucheza mechi za kimataifa hapa Tanzania... Tanzania kwa ujumla imepewa onyo... Sasa pengine ni hasira za tff kwa watu fulani
Mwenye Kupenda Haoni,Chongo Ataita Kengeza!!!Mimi ni mwananchi kwenye koti Sina noma labda alichukua la mukoko tonombe chap chap....shida ile miwani
MiwaniIla nina mashaka na aina ya Bangi wanayovuta baadhi ya wachezaji wa Yanga haswa Feisal sasa lile ndio koti ganii la kuvaa kwenye hafla kubwa kama ile kwelii na mawani tinted usiku kama ule ya nn sasa
Mechi ya juzi dhidi ya river united... Kuna mechi hakutakiwa kuingiza mashabiki ila yeye akaingiza (kwa kujibu wa hiyo barua)... Na pia waliandikiwa barua ila hakujibu...Sasa yanga kaadhibiwa kwa kosa gan Akat hajacheza kimataifa msimu iliyopita na katwishwa makosa ya Simba,...pale kwa bongozozo ni msala sana
Nop wengine huenda wangelaum Ila si mimi, man wew ni msimbaz mm mwananch hivi inawezekanaje Simba ilicheza gem Zaid ya kumi kimataifa Tena game ambazo mashabiki wanadesire ya kujaa uwanjan wanazidiwa mashabiki na yanga, had nawaza kuwa waliona noma kumpa manara takwimu Bora waipe yangaAngepewa Manara mngesema,Nugaz kakosa mnasema,kapata Bongo Zozo makelele!!..
Mkuu tunaitaga mawani kitaa kwetu, na tunajua kuwa tunakoseaMiwani
Hatukuwaona au ni Hawa akina privaldinho na waandidhi uchwara wengine ... African soccer is very fucken, inakuwaje alert ya corona kuwa tofaut within two weeks na hakuna event yyte nzito, bado nawaza why bongozozo...hyo fine yanga inalipa hakuna tatzoMechi ya juzi dhidi ya river united... Kuna mechi hakutakiwa kuingiza mashabiki ila yeye akaingiza (kwa kujibu wa hiyo barua)... Na pia waliandikiwa barua ila hakujibu...
Hatukuwaona au ni Hawa akina privaldinho na waandidhi uchwara wengine ... African soccer is very fucken, inakuwaje alert ya corona kuwa tofaut within two weeks na hakuna event yyte nzito, bado nawaza why bongozozo...hyo fine yanga inalipa hakuna tatzo
Ndio mpira wetu huu... Umejawa na ushabiki wa timu na ukanda kuliko mapenzi ya soka kwa ujumlaHatukuwaona au ni Hawa akina privaldinho na waandidhi uchwara wengine ... African soccer is very fucken, inakuwaje alert ya corona kuwa tofaut within two weeks na hakuna event yyte nzito, bado nawaza why bongozozo...hyo fine yanga inalipa hakuna tatzo
Zile zilikua takwimu za ligi msimu uliopitaNop wengine huenda wangelaum Ila si mimi, man wew ni msimbaz mm mwananch hivi inawezekanaje Simba ilicheza gem Zaid ya kumi kimataifa Tena game ambazo mashabiki wanadesire ya kujaa uwanjan wanazidiwa mashabiki na yanga, had nawaza kuwa waliona noma kumpa manara takwimu Bora waipe yanga
Mechi ya juzi dhidi ya river united... Kuna mechi hakutakiwa kuingiza mashabiki ila yeye akaingiza (kwa kujibu wa hiyo barua)... Na pia waliandikiwa barua ila hakujibu...
Hope amekuelewa "mawani" ni lugha ya kuleta msisitizo zaidi instead of miwaniMkuu tunaitaga mawani kitaa kwetu, na tunajua kuwa tunakosea